Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

Huu ndio usanii wa Kanisa Katoliki.
Watakwambia Papa amefanya hayo na wakati huo huo Papa mwenyewe ni mzee na mgonjwa ile mbaya.
 
Kwa zaidi ya mwaka sasa, afya ya Papa kutokana na umri imezorota vibaya kiasi ambacho hawezi hata kuendesha misa ya masaa mawili, halafu utaambiwa Papa amefanya hiki na kile duniani.
Ni usanii mtupu.
 
Hawajatumbia mipaka yake.

Kwa vyovyote sisi tukio mpkani mwa dar na bagamoyo tayari tupo jimbo jipya la bagamoyo, sasa hela zetu tunazo changa kujenga kanisa kuu la jimbo tutarudishiwa?

Ukisoma taarifa ya kina kutoka radio vatikano utapata idadi ya parokia na viongozi wengine. The link has been shared above
 
Back
Top Bottom