Kwa zaidi ya mwaka sasa, afya ya Papa kutokana na umri imezorota vibaya kiasi ambacho hawezi hata kuendesha misa ya masaa mawili, halafu utaambiwa Papa amefanya hiki na kile duniani.
Ni usanii mtupu.
Kwa vyovyote sisi tukio mpkani mwa dar na bagamoyo tayari tupo jimbo jipya la bagamoyo, sasa hela zetu tunazo changa kujenga kanisa kuu la jimbo tutarudishiwa?
Askofu Stephano Lameck Musomba OSA, ameteuliwa na Papa Francisko kuwa ni Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo. Kabla ya uteuzi huu, Askofu ...
www.vaticannews.va
Ukisoma taarifa ya kina kutoka radio vatikano utapata idadi ya parokia na viongozi wengine. The link has been shared above