Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
 
Aliposema it's a it's a human fact nikajua tayari imeenda hii. Sasa hilo la kubariki mmojammoja linautofauti gani?
 
Aliposema it's a it's a human fact nikajua tayari imeenda hii. Sasa hilo la kubariki mmojammoja linautofauti gani?
Ukisikiliza yote ndipo unaweza kuelewa. Hawa ni wahuni tu wanakata kata
 
Ukisikiliza yote ndipo unaweza kuelewa. Hawa ni wahuni tu wanakata kata
Kuelewa nimeelewa papa anakubaliana na dhana ya kuwepo kwa same sex relationships ila kama mtumishi wa mungu na kanisa katoliki alipaswa kulipinga badala ya kukubaliana nalo. Tuanzie hapo kwanza dini yenyewe hairuhusu
 
Habariki wapenzi wa jinsia moja ila anabariki mpenzi wa jinsia moja akienda peke yake kubarikiwa abarikiwe tu. Je anapobarikiwa atabarikiwa kama mtu mwingine yeyote au atabarikiwa kama mpenzi wa jinsia moja? Yaani mtu anajulikana ni shoga/msagaji/basha abarikiwe tu bila kupigwa stop akajitakase na kutubu dhambi yake hiyo? Papa aache kukanganya watu anyooshe maelezo yake kuhusu wapenzi wa jinsia moja aeleweke anaunga mkono au haungi mkono
 
Muda umefika sasa kanisa libariki na kuruhu ndoa ya mke zaidi ya mmoja..
 
Wakati mwingine unaweza amini zile kauli za wasabato kuwa papa ndie 666
 
Back
Top Bottom