Ukisikiliza yote ndipo unaweza kuelewa. Hawa ni wahuni tu wanakata kataAliposema it's a it's a human fact nikajua tayari imeenda hii. Sasa hilo la kubariki mmojammoja linautofauti gani?
Kuelewa nimeelewa papa anakubaliana na dhana ya kuwepo kwa same sex relationships ila kama mtumishi wa mungu na kanisa katoliki alipaswa kulipinga badala ya kukubaliana nalo. Tuanzie hapo kwanza dini yenyewe hairuhusuUkisikiliza yote ndipo unaweza kuelewa. Hawa ni wahuni tu wanakata kata
Ni huzuni sana lo