Hapo tutaendeleza mjadala,sina biblia yangu hapa karibu lakini kilichosemwa ni chochote utakachokifungua duniani kimefunguliwa mbinguni na chochote utakachokifunga na mbinguni kimefungwa,na sikuona kama alipewa mamlaka ya kubariki...
Nitakapokuwa na bibilia yangu nitakutafutia huo mstari ambao nina uhakika unaujua ..
papa atategwa sana na maduu mwaka huu huko kwenye twira