Papa atinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Niko naangalia EWTN Tv

Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu

Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye ndege akiwa na body guard mwafrika

Hapo kwenye red pana akisi kua wewe ni mtu mbaguzi sana ndio maana mawazo yako yametawaliwa kwa kuangalia race ya mtu.
 
Hiyo ni katika kuonyesha nguvu ya Chanjo ambayo ni zaidi mno ya nguvu ya buku!

Kwa chanjo hizi kongole kwenu nyote mabeberu na msio mabeberu.

Maisha kwanza!
 
Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu
Subiri Jumapili ijayo akipewa nafasi kusalimu waamini kwenye moja ya makanisa yetu
 
Weka picha
 
Papa si walinzi wake ni kutoka uswiss? Au utaratibu umebadilika hadi kuwepo wabongo siku hizi au huyo mtu mweusi nae ni mswiss?
 
Papa si walinzi wake ni kutoka uswiss? Au utaratibu umebadilika hadi kuwepo wabongo siku hizi au huyo mtu mweusi nae ni mswiss?
Wewe ni mjinga Sana , Nani kakwambia rangi ndio inatambulisha nationality. Ndio maana CCM itawatawala milele.

Huyu ni Embolo raia wa Uswis na anachezea timu ya taifa ya uswis. Amezaliwa na kukulia Swiss.

Attachments

  • Screenshot_2021-03-07-13-55-06-37.jpeg
    31.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…