Papa atinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa

Wewe ni mjinga Sana , Nani kakwambia rangi ndio inatambulisha nationality. Ndio maana CCM itawatawala milele.

Huyu ni Embolo raia wa Uswis na anachezea timu ya taifa ya uswis. Amezaliwa na kukulia Swiss.

View attachment 1719304

Sasa kuniita mjinga umefaidika na nini? Hujui kwamba hao wachezaji wa swiss wengi ata passport za uswiss hawana. Ukizaliwa Switzerland haikufanyi uwe mswiss kama wazazi wako sio waswiss ushahidi upo sana xhaka ni team captain wa nation team lakini hana passport ya uswiss. Kwa hiyo swali langu bado liko pale pale na ujinga wangu. Sheria ya Vatican walinzi wa Pope ni lazima awe mswiss mwenye passport na amepitia mafunzo ya kijeshi uswiss ambayo huwa ni lazima Kwa umri fulani kwa vijana labda kama ana tatizo la kiafya. Hiyo ya rangi Usiwe na shaka nimeuliza kama nae ni mswiss mweusi mwenye vigezo hivyo hapo juu. Kumbuka hakuna anaejua kila kitu na kuuliza sio ujinga. Hivyo usiniite mjinga kabla hujamuuliza mama yako. Naweza kua baba yako ujue
 
Kuna mtu alikuwa anasifu et nguvu ya chanjo ndio maana hajavaa barakoa, wakati inashauriwa kuendelea kuchukua tahadhari kama kawaida hata kama umechanjwa.
 
Niko naangalia EWTN Tv

Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu

Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye ndege akiwa na body guard mwafrika
Hivi mnafaidika nini kusema uongo??
 
Attachments

  • Screenshot_20210307-154013.png
    Screenshot_20210307-154013.png
    134.7 KB · Views: 1
Naona kichwa hujaelewa kabisa hilo eneo la Iraq kurdistan ni tofauti na hizo za Iraq.Iraq kurdistan ni eneo huru ndani ya Iraq alienda baada ya kutoka hapo na alusafiri kwa ndege ya Iraq
 
Niko naangalia EWTN Tv

Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu

Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye ndege akiwa na body guard mwafrika
 
Amepimwa na wenyeji pia wamepimwa, sio Tz wanaodanganywa hakuna.
 
Naona kichwa hujaelewa kabisa hilo eneo la Iraq kurdistan ni tofauti na hizo za Iraq.Iraq kurdistan ni eneo huru ndani ya Iraq alienda baada ya kutoka hapo na alusafiri kwa ndege ya Iraq
Wewe ng'ombe hizo picha baadhi ni za leo akiwa Kurdistan
 
Sasa kuniita mjinga umefaidika na nini? Hujui kwamba hao wachezaji wa swiss wengi ata passport za uswiss hawana. Ukizaliwa Switzerland haikufanyi uwe mswiss kama wazazi wako sio waswiss ushahidi upo sana xhaka ni team captain wa nation team lakini hana passport ya uswiss. Kwa hiyo swali langu bado liko pale pale na ujinga wangu. Sheria ya Vatican walinzi wa Pope ni lazima awe mswiss mwenye passport na amepitia mafunzo ya kijeshi uswiss ambayo huwa ni lazima Kwa umri fulani kwa vijana labda kama ana tatizo la kiafya. Hiyo ya rangi Usiwe na shaka nimeuliza kama nae ni mswiss mweusi mwenye vigezo hivyo hapo juu. Kumbuka hakuna anaejua kila kitu na kuuliza sio ujinga. Hivyo usiniite mjinga kabla hujamuuliza mama yako. Naweza kua baba yako ujue
Wewe ni mjinga Tena Mpuuzi,

Unataka tukuwekee passport ya Xhakha.??

Anakuwaje raia na Hana passport ? Mtu anachezea National team unasema sio raia una akili kweli wewe
 
Niko naangalia EWTN Tv

Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Ameshapata chanjo, sawa na mtazamo wa Maaskofu wa TEC kusisitiza sayansi katika kukabiliana na covd19.

Niko naangalia EWTN Tv

Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu

Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye ndege akiwa na body guard mwafrika
tuendelee kujifukiza tuu
 
Wewe ni mjinga Tena Mpuuzi,

Unataka tukuwekee passport ya Xhakha.??

Anakuwaje raia na Hana passport ? Mtu anachezea National team unasema sio raia una akili kweli wewe

Poa mkuu mimi mpuuzi.
 
Back
Top Bottom