Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Nimekuuliza aliyasema lini...? Wapi..? Alimwambia nani..?
Mbona kwenye catholic credibke sources hamna..?

Halafu nijibu maswali nilyokuuliza hapo juu chap..! Tusipotezeane muda
Soma link hii, "Pope
Nimekuuliza aliyasema lini...? Wapi..? Alimwambia nani..?
Mbona kwenye catholic credibke sources hamna..?

Halafu nijibu maswali nilyokuuliza hapo juu chap..! Tusipotezeane muda
Nimetoa link. Nairudia, ukienda huko utapata majibu ya maswali yako. Pope Francis goes public in support of RFID implantstion. " Ukisoma utapata majibu ya maswali yako yote. Kumbuka hata hivyo kwamba mimi nimeleta tu taarifa ambayo tayari iko kwenye mtandao na he has been quoted as saying.
 
Mleta mada ni Msabato. Wao ndiyo hujifanya kuwa wanafahamu mambo ya unabii sana na ni wafafanuzi wakubwa wa vitabu vya Ufunuo na Daniel. Kanisa zima lilianzishwa kutokana na vuguvugu la kutabiri kurejea kwa Yesu kule Marekani. Baada ya utabiri huo kushindikana na Yesu kutorejea hasa mwaka 1844, walikokotoa mahesabu ya kitabu cha Daniel upya wakatabiri tena wakashindwa. Tangu hapo Kanisa hili halijaachana na mambo ya unabii, kutabiri tabiri na conspiracy theories. Kila tukio jipya liwe natural au la hupitishwa katika chekecho la unabii; na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo ndiyo central theme.

Papa ni mtu wa muhimu sana kwa Waadventista Wasabato. Wanaamini kuwa Pope ndiye mpinga Kristo na mmiliki wa ile namba tata 666 na kwamba siku za mwisho kanisa katoliki litarudia hadhi yake liliyokuwa nayo hapo zamani wakati ule likitawala dunia na kuwapitishia hukumu za kifo akina Galileo Galilei. Wanaamini kuwa wao pekee ndiyo washika amri sahihi za Mungu na ndiyo pekee watakaokwenda mbinguni. Na wale wahafidhina hawali nyama, kunywa kahawa au chai, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato na sheria nyingine za Kumbukumbu la Torati hasa zinazohusu siku ya Sabato. Siku ya Sabato hawaruhusiwi hata kupika! Kwa hiyo wokovu unafungamanishwa na sheria hizi za Musa jambo ambalo linapingwa na Wakristo wengi (Damu ya Yesu ndiyo ilimaliza kila kitu msalabani na mtu hataikosa mbingu eti tu kwa vila alikula samaki asiye na magamba!)

Wanatheolojia wengi na wachambuzi wa Biblia huwachukulia Wasabato kama aina mojawapo ya cult za Kikristo zilizofanikiwa sana. Badala ya kuamini Biblia pekee, wanaamini pia maandishi mengi (karibia vitabu 600) vya mama mmoja Mmarekani aitwaye Ellen G. White. Huyu wanamtambua kama nabii wao na baadhi ya vitabu vyake kama Pambano Kuu (The Great Controversy) vina hadhi kubwa sana kanisani. Pia wanaamini kuwa Yesu hakumaliza kazi ya kutukomboa msalabani bali kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) huko mbinguni ili kuendelea kututetea mbele ya Mungu Baba kuhusu dhambi zetu tunazoendelea kuzitenda hapa duniani.

Ova!
 
Sasa huu si ukichaa??

Chemtrail
 
Wewe hiyo link umehakikisha ni credible mpka uilete hapa..? Sisi kukupinga sio kwamba hatutaki kusoma uzi wako ila tumegundua ulichokileta ni uzushi wa mitandanaoni...

Sasa maana wewe mpaka utuletee hapa inamaanisha umesoma, umeelewa ndio maana ukawrza kuandika kwa kingereza na kuleta hapa..

Sasa kama hayo yote uliyaweza kwanini ushindwe kinijibu maswali niliyokuuliza..? Au na wewe ni mbumbumbu unayebebwa na porojo za mitandaoni...?
 


Nimekumbuka movie moja ya The Physicist. Dr alikataliwa kumfanyia mtu operation miaka ya Middle Ages kwa sababu viongozi wa kanisa waliamini ni kinyume na Mungu kumpasua mtu.

I mean; sometimes imani zinaweza kutufanya kuwa wajinga na kukataa kubadilika.

Pia kama ina faida na manufaa kwanini tuzuie kwa kuona ni mwisho wa dunia na ushetani? Kwanza sio kila mtu ni mkristu na sio kila mtu ana dini hiyo inayotazama mwisho wa dunia kihivyo. So haiwezekani kukataa jambo mtazamo wa dini moja ambayo haina facts bali ni conspiracies tu.

Hizi conspiracy zinachanganya watu na kujaza watu ujinga wa kufikiri. Kila kitu mnaona 666.
 
Zamani mlikuwa mnasema waislam ndio wapinga kristo. Siku hizi naona mmeanza kutafutana mchawi kati yenu wenyewe. Na bado, ngoma bado mbichi hii. Hadi kiyama kifike tutashuhudia mengi hasa watakaokuwepo. Hata ATM machine zonavoingia walisema ni alama ya mnyama hata ATM kadi wakasema alama ya mnyama. Duuu alama za mnyama ni nyingi. Wasabato wao huwa wanasema jina la papa kwa kirumi ni alama ya mnyama!!!

Nawaambia tena nawaambia; acheni kuhangaika na alama za mnyama bali haingaikieni kuwa wachamungu wa kweli. Nawaambia, hakika ni uchamungu pekee ndio utawaokoa na makucha ya huyo mnyama.
 
Ni upuuzi kuukimbia ukweli. Face it and make the appropriate decision.Mbona nimetoa link. Go to that one link na utashangaa how your eyes will be opened. But be courageous because the foundation of your faith will be shaken.
Tunataka video clip inayomuonesha papa akisema hayo unayosema, hatutaki ujinga sisi. Hata simu za mkononi zinavoingia kuna watu walisema ni alama ya mnyama!!!
 
Lete ushahidi kuwa microchip ni alama ya mnyama ikiwa unasema kweli. Tuletee ushahidi mtu aliewekewa microchip kisha ikamtoa majipu mwili mzima. Hatupendi ujinga sisi.
 
Mkuu kumbe umepakua kutoka google? umeona sasa ulivyo ingizwa chaka? Google ni universal yaani hata Pumba watu zito kule hivyo source ya information inatakiwa iwe official link. sio uchafu wawa huni tu huko google!!
Asichokijua ni kuwa hata mm naweza andika pumba zangu na ukigoogle unazipata.
 


Mkuu kuwa mvumilivu, watu tuko tofauti sana. Mwingine hajui kitu chochote ktk thread lkn lazima a-comment tena kwa ukali na kashfa badala ya kupita kimyakimya.

Vv
 
Hatushangai huyo Papa ni mpinga kristo so kukubali hizo chip ni kawaida tu akubali ili maandiko yatimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…