Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Daah....Umemaliza hata Darasa la saba ndugu..?Waaambie hao waroma wasojua vzr bible
Hii mambo Ellen G White yule kichaa wa Marekani alishaiacha..Sasa nyinyi wafuasi wake mmebaki vichwa tupu....Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili, huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga kristo..every knees shall bow down na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni Bwana..time will tell!
Mkuu vp! Mbona jazba kiasi hiki? Huyo kiongozi anahusishwa sana na hizo taarifa.Jf si ya kipumbavu kama wewe !! tuseme mara ngapi kuhusu link !!
peleka huu upupu wako fb
Ishu sio kukubali au kukataa. Hapa watu wanaeleza yaliyo nyuma ya pazia.Mbona chip za kwenye magari/GPS /tracking systems tumezikubali?
Kwani Mungu yupo likizo [emoji47] [emoji351] unalia [emoji30] lia wakati Yesu alipomuona shehetan anatupwa duniani...alitupa Mamlaka ya kumgalagaza [emoji117] Lk 10:18-19 na silaha kakupa [emoji117] Efe.6:12-18...uwe jasiri [emoji109] [emoji106]Ishu sio kukubali au kukataa. Hapa watu wanaeleza yaliyo nyuma ya pazia.
Naona umeni quote ila unaaddress kitu kingine tofauti na nilicho comment mimiKwani Mungu yupo likizo [emoji47] [emoji351] unalia [emoji30] lia wakati Yesu alipomuona shehetan anatupwa duniani...alitupa Mamlaka ya kumgalagaza [emoji117] Lk 10:18-19 na silaha kakupa [emoji117] Efe.6:12-18...uwe jasiri [emoji109] [emoji106]
[emoji15] [emoji12]Naona umeni quote ila unaaddress kitu kingine tofauti na nilicho comment mimi
Kwa wasiojua maana ya 666 watakubaliana nawewe. Maana ya 666 ni kaizari Nero We tafsri yako umeipata wapi Utaalamu wakutafsiri maandiko umepata wapi usidandie mambo.Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta matumaini makubwa katika kutatua matatizo mengi ya wanadamu na hivyo kuboresha ustawi wao.
Matamshi haya yanakuja huku akijua msimamo wa kiimani wa makanisa mengi ya Kikristo na hata kanisa Katoliki lenyewe. Makanisa mengi ya kikristo yanaamini kwamba RFID chipping ni alama ya mnyama au Shetani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Ufunuo. Tukio hili kufuatana na imani ya makanisa haya, linaashiria mwisho wa dunia.
Katika kitabu cha Ufunuo13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya, 16Naye alimlazimisha kila mtu, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, huru na mtumwa, kupokea chapa katika mkono wake wa kulia au paji la uso, 17 ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na hiyo chapa, ambalo ndilo jina la huyo mnyama au namba ya jina lake. 18 Hii inahitaji hekima, kama mtu ana ufahamu aitafute namba ya huyo mnyama, kwa sababu ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666.
Kwa wale wachunguzi watakubaliana na mimi kwamba namba hii inatumika sana siku hizi.Wapo ambao wanaitumia kwa uwazi kwenye bidhaa. Wanamuziki wa Rock hasa nchi za Ulaya na Marekani nao wanaitumia sana, lakini wengi wanatumia kwa siri, kwa hiyo inahitaji umakini mkubwa kuweza kujua kwamba ni 666. Hata logo ya Olympic ina namba 666. Matumizi ya namba hii kwenye barcodes ni wazi kidogo!
Katika hotuba yake ya kila wiki Vatican, Papa alizungumzia juu ya imani aliyonayo kwenye tekinolojia ya RFID. Aliwahakikishia waumini wake kwamba hakuna athari zozote za kiroho au kiafya zinazoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID. Hata hivyo inafahamika kwamba yapo matatizo makubwa ya kiafya yanayoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID vinapochoka, ikiwa ni pamoja na maumivu makali mwilini na majipu mwili mzima.
Aliendelea kwa kusema wamechunguza maandiko vizuri na hivyo wanaweza kusema kwamba hakuna ushahidi wowote unao-onyesha kwamba vichipu vya RFID ambacho kinawekwa mwilini kina muwakilisha Shetani. Nadhani alisahau Ufunuo 13:16-18! Aliongeza kusema RFID ni baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe ambayo ameileta kwa wanadamu.
Aliwaomba wauminu wa Kanisa Katoliki waipokee baraka hii kwa moyo mmoja. Alimalizia kwa kusema kuanzia sasa itakuwa lazima kwa kila mfanyikazi wa Vatican kuwekewa kichipu cha RFID.
Kusoma zaidi:Google "Pope Francis goes public in support of RFID implantation. "
Anahusishwa na nani...?Mkuu vp! Mbona jazba kiasi hiki? Huyo kiongozi anahusishwa sana na hizo taarifa.
Yapi hayo yaliyonyuma ya pazia..?Ishu sio kukubali au kukataa. Hapa watu wanaeleza yaliyo nyuma ya pazia.
Hawajii kuwa biblia ni mali ya Kanisa...Tumefanya kuwapa tu na wao wafaidi Neno la Mungu....Na pia hawajui karibu vitabu vyote vya Agano Jipya vipo ili ku-suit mafundisho ya Kanisa..Hv Biblia inayowapa kiburi vitabu vyake vimekusanywa na kuwekwa pamoja na nani? Nani kaitunza mpaka vikanisa vya 1900 vikatumia? Huo ni ujinga kutukana na kulidharau kanisa Katoliki. Ni mkristo mjinga pekee anayeweza kulidharau
Wasabato mkuu ni viumbe wa ajabu sana..Yule Kibibi Ellen G White alishawaachia laana..Acha kuingiza mambo ya dini kwenye sayansi, sasa mbona kwenye biblia hazijasmwa hizo chip , vp hizo chip zina 666, na kwan zinawekwa usoni,
ehn!! makubwa!MTAJIJU!
hayo maombi yenu hayafanyi kazi ama..?
madogo yananafuu,ehn!! makubwa!
naona umeshakuwa atheist siku hizi!
Umenena Vema Mwl. watu povu tu lawatiririka bila kutoa ushahidi uliojitosheleza na kuaminika.Hizi comments zinafurahisha hatari. Shida zinafanya watu waache kuwaza mambo ya msingi wanaongelea mambo yasiyo na maana kwao.
Nawashauri tuu yafuatayo:
1) Hakikisha unachoongea unakijua vizuri.
2)Usitetee imani yako kwa kukashifu imani ya mwingine. Jifunze mambo ya muhim katika imani yako na usikubali mtu akufundishe ubaya wa imani ya mtu mwingine badala ya kukufundisha juu ya ubora wa imani yako.
3) Kujua kwamba hujui vingine ndio maarifa kuliko kutokujua kuwa hujui ambao ni upuuzi.
4) Kama unasoma kitu chochote (vitabu vya dini n.k) jitahidi kuelewa vizuri usikurupukee