Chemtrail
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 827
- 442
- Thread starter
- #101
Hujui kinachoendelea nyuma ya pazia wewe ndio maana unaongea maneno hayo. Google "The secret oath of the Jesuits "uone mpango wao kwako na mimi na ukweli kuhusu wao.
Umenena Vema Mwl. watu povu tu lawatiririka bila kutoa ushahidi uliojitosheleza na kuaminika.
Mti mzuri daima hupigwa mawe",.. RC illuminate prove huwezi Sijui wasabato wamefanyaje same kwa waislamu Kila MTU aiishi Imani yake kwa mujibu wa dini take",..
Papa na RC ni wapinga kristo amini mwenyewe ivyo usilazimishe na wengine waamini ukiaminicho maana binadamu tupo kama vidole vya mkono.
Tenda Yale yampendezayo Muumba Biblia Iachiwe wenye kuiamini Qur'an vivyo hivyo.