Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Ni upuuzi kuukimbia ukweli. Face it and make the appropriate decision.
Ukweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??

Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?

Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??

Tatu wewe ni dhehebu gani..?
 
Kwanini JF inaabishwa na thread za kipumbav namna hii..
Kwa hiyo Pope Francis aliyesema maneno hayo ni mpumbavu. Remember that I have just reapeated what he said. Sana sana ungenishukuru kwa kuufikisha ujumbe wa Pope kwako.Badala yake unanipiga madongo, funny.
 
Kwa hiyo Pope Francis aliyesema maneno hayo ni ********. Remember that I have just reapeated what he said. Sana sana ungenishukuru kwa kuufikisha ujumbe of your Pope
kwako.
Nimekuuliza aliyasema lini...? Wapi..? Alimwambia nani..?
Mbona kwenye catholic credibke sources hamna..?

Halafu nijibu maswali nilyokuuliza hapo juu chap..! Tusipotezeane muda
 
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta matumaini makubwa katika kutatua matatizo mengi ya wanadamu na hivyo kuboresha ustawi wao.

Matamshi haya yanakuja huku akijua msimamo wa kiimani wa makanisa mengi ya Kikristo na hata kanisa Katoliki lenyewe. Makanisa mengi ya kikristo yanaamini kwamba RFID chipping ni alama ya mnyama au Shetani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Ufunuo. Tukio hili kufuatana na imani ya makanisa haya, linaashiria mwisho wa dunia.

Katika kitabu cha Ufunuo13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya, 16Naye alimlazimisha kila mtu, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, huru na mtumwa, kupokea chapa katika mkono wake wa kulia au paji la uso, 17 ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na hiyo chapa, ambalo ndilo jina la huyo mnyama au namba ya jina lake. 18 Hii inahitaji hekima, kama mtu ana ufahamu aitafute namba ya huyo mnyama, kwa sababu ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666.

Kwa wale wachunguzi watakubaliana na mimi kwamba namba hii inatumika sana siku hizi.Wapo ambao wanaitumia kwa uwazi kwenye bidhaa. Wanamuziki wa Rock hasa nchi za Ulaya na Marekani nao wanaitumia sana, lakini wengi wanatumia kwa siri, kwa hiyo inahitaji umakini mkubwa kuweza kujua kwamba ni 666. Hata logo ya Olympic ina namba 666. Matumizi ya namba hii kwenye barcodes ni wazi kidogo!

Katika hotuba yake ya kila wiki Vatican, Papa alizungumzia juu ya imani aliyonayo kwenye tekinolojia ya RFID. Aliwahakikishia waumini wake kwamba hakuna athari zozote za kiroho au kiafya zinazoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID. Hata hivyo inafahamika kwamba yapo matatizo makubwa ya kiafya yanayoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID vinapochoka, ikiwa ni pamoja na maumivu makali mwilini na majipu mwili mzima.

Aliendelea kwa kusema wamechunguza maandiko vizuri na hivyo wanaweza kusema kwamba hakuna ushahidi wowote unao-onyesha kwamba vichipu vya RFID ambacho kinawekwa mwilini kina muwakilisha Shetani. Nadhani alisahau Ufunuo 13:16-18! Aliongeza kusema RFID ni baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe ambayo ameileta kwa wanadamu.

Aliwaomba wauminu wa Kanisa Katoliki waipokee baraka hii kwa moyo mmoja. Alimalizia kwa kusema kuanzia sasa itakuwa lazima kwa kila mfanyikazi wa Vatican kuwekewa kichipu cha RFID.

Kusoma zaidi:Google "Pope Francis goes public in support of RFID implantation. "
Daaah kweli DINI ni mbaya sana!! Mafundisho ya DINI YAKO ni hatariiii sn kwa Imani YAKO!! Askofu WAKO humjui Leo unajifanya unamjua pope daaah!!
Sunday school Leo mmefundishwa hayo haaaa
 
Hata mimi naweza kuandika huko google kuwa, Chemtrail ni SHOGA aliyekubuhu .., Kisha ukihoji nakuambia nenda google halaandika chemtrail ni shoga...Uone maajabu..
Unacho ongea hakina mantiki kwa kuwa mimi sio shoga na wala sitakuwa shaken. Halafu unashangaza, mbona I have just reported what he said, why the fuss. He felt kwamba it is the right time for us to know. Nilichofanya ni kukuletea ujumbe alio ongea na waumini wengine Vatican ambao na wewe una haki ya kuujua. Kama yeye hakuona kwamba ni siri, kwa nini wewe uuone siri. Ni ajabu sana.
 
Kwa hiyo Pope Francis aliyesema maneno hayo ni ********. Remember that I have just reapeated what he said. Sana sana ungenishukuru kwa kuufikisha ujumbe wa Pope kwako.Badala yake unanipiga madongo, funny.
He will deceive many and having many followers in the world.he claims to take a position of GOD in earth!..he has a title name VICARIOUS FILII DEI means In place of GOD.
 
Mpumbavuuu anapojaribu kuzungumzia Sayansi na conspiracy za kijima inatia kinyaa! Ni aibu uzi huu umewekwa jukwaa la intelejensia!
 
Unacho ongea hakina mantiki kwa kuwa mimi sio shoga na wala sitakuwa shaken. Halafu unashangaza, mbona I have just reported what he said, why the fuss. He felt kwamba it is the right time for us to know. Nilichofanya ni kukuletea ujumbe alio ongea na waumini wengine Vatican ambao na wewe una haki ya kuujua. Kama yeye hakuona kwamba ni siri, kwa nini wewe uuone siri. Ni ajabu sana.
Umeishia darasa la ngapi..? Umeelewa mantiki ya kusema shoga...Ni kwamba huko google anyone can write anything he/she wish to write..

Sasa nijibu hayo maswali nilyokuliza fasta tusipotezeane muda...
 
Hakuna sababu ya kuhamaki. Kwanza ungekuwa na busara ungenishukuru. Mimi sipati faida yeyote kuleta taarifa hii, I am just helping you to make an imformed decision. Hata hivyo kama unataka kupata taarifa kamili
Google"Pope Francis goes public in support of the RFID implantation. " Kwanza taarifa hii is just a tip in the iceberg, mambo makubwa zaidi na ya kushangaza yatatokea katika kanisa la Katoliki katika siku za hivi karibuni!
Mkuu kumbe umepakua kutoka google? umeona sasa ulivyo ingizwa chaka? Google ni universal yaani hata Pumba watu zito kule hivyo source ya information inatakiwa iwe official link. sio uchafu wawa huni tu huko google!!
 
Back
Top Bottom