Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
107218951-1680341097800-gettyimages-1250261630-AFP_33CG27C.jpeg

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye miaka 86, alilazwa Machi 29, 2023 katika Hospitali ya Gemelli Polyclinic baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kupumua ambapo alianza matibabu ya Dawa za 'Antibiotic'.

Maafisa wa Vatican wamesema #PapaFrancis atakuwa katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa ajili ya Misa ya Jumapili ya Mitende kuashiria kuanza kwa Wiki Takatifu, ambayo kilele chake ni Pasaka, Aprili 9.

Francis alisimama kuzungumza na Waandishi wa Habari kabla ya Vatican kwenye hoteli ya Holy See anakoishi. Akizungumza kupitia dirisha la gari, Papa alisema: “Pasaka njema kwenu wote, na mniombee.''

================

A chipper-sounding Pope Francis was discharged Saturday from the Rome hospital where he was treated for bronchitis, quipping to journalists before being driven away that he’s “still alive.”

Francis, 86, was hospitalized at Gemelli Polyclinic on Wednesday following his weekly public audience in St. Peter’s Square after reportedly experiencing breathing difficulties. The pontiff received antibiotics administered intravenously during his stay, the Vatican said.

In a sign of his improved health, the Vatican released details of Francis’ Holy Week schedule. It said he would preside at this weekend’s Palm Sunday Mass in St. Peter’s Square and at an outdoor Easter Mass on April 9. A Vatican cardinal will be at the altar to celebrate both Masses, a recent practice due to the pontiff having a troublesome knee issue.

But Francis is expected to celebrate Holy Thursday Mass, which this year will be held in a juvenile prison in Rome. Still unclear was whether he would attend the late-night, torch-lit Way of the Cross procession at Rome’s Colosseum to mark Good Friday.

Before departing Gemelli Polyclinic late Saturday morning, Francis had an emotional moment with a Rome couple whose 5-year-old daughter died Friday night at the Catholic hospital. Outside, Serena Subania, mother of Angelica, sobbed as she pressed her head into the chest of the pope, who held her close and whispered words of comfort.

AP NEWS
 
Ule utaratibu wa kustaafu kutokana na changamoto za kiafya auendeleze
 
Tunamshukuru Mungu,kwa kumponya Kiongozi wetu wa Kanisa,Tunamuomba Mungu azidi kumjalia Afya Njema ya roho na mwili.
 
Back
Top Bottom