fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
ni kweli na huyo natanyahu anafanya mauaji ya kimbariPapa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.
Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya Israeli.
Amesisitiza kuwa huo ni ukatili usio kubalika na binaadamu yeyote.
View attachment 3182319
Kasemaje kuhusu mauaji ya oct 7?Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.
Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya Israeli.
Amesisitiza kuwa huo ni ukatili usio kubalika na binaadamu yeyote.
View attachment 3182319
Tumpe bunduki aende gazaUnadhani ni kwanini na wewe umeanzia 1948?
Hakuna mtu anaunga mkono mauaji ya oct 7 lakini hiyo hailalishi natanyahu kuuwa watoto na kuibomoa gazaKasemaje kuhusu mauaji ya oct 7?
Watu wala hawataki kufikiri sawasawa kwenye hili, wao mapenzi yao yapo kwa hao wazayuni tu , ndio madhara ya Kuamini tu bila uthibitisho.Waisrael hawaangalii Huyu muisilamu huyu Mkristo, Makanisa yanalipuliwa kama misikiti, Mapadre wanauliwa kama masheikh, mtu yoyote anaefikiri hapo wanaopigwa ni waisilamu tu ujue Iq yake ni ya kuvukia barabara tu.
Kwamba huyu papa ndio kiongozi wa waislamu, kwani huwa mnalala usiku usingizi ukaisha?! sisi hatuna kiongozi mmoja dunia nzima baada ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake, nyie endeleeni kuandikiwa visangalaweni na vibrosha sijui broncha kila siku new version mambo yetu tuachieni wenyewe.Papa ni mnafiki,mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo tu.dunia ilivyowazi ukichokonoa tu unapata mambo bana...vita vyote ulimwenguni hupangwa na hio vatican under the power of satan mwenyewe..umewai sikia mwenyekiti wa umoja wa mataifa??? Lah ila utasikia tu oh katibu mkuu wa umoja wa mataifa.mwenyekiti yupo ambae ni shetani mwenyewe.so mamlaka vatican kampa black pope ambae hujifanya kua kiongozi wa serikali zote,huyu papa mweupe ye hujifanya kiongozi wa dini zote...ndio dini zote hata hio ya waarabu.unafiki wa mapapa weupe ni kujifanya wanautakia ulimwengu amani na kumbe nyuma ya ajenda ni uasi tu.
Papa ambaye alishawahi kuitawala Mashariki ya Kati kwa miaka zaidi ya 200 akiwa na kikosi chake Katili zaidi Cha Crusaders unasema hajui historia ya Mashariki ya Kati? You must not be serious.