Papa Francis asema kinachoendela huko Gaza sio vita bali ni ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya watoto

Papa Francis asema kinachoendela huko Gaza sio vita bali ni ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya watoto

Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.

Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya Israeli.

Amesisitiza kuwa huo ni ukatili usio kubalika na binaadamu yeyote.

View attachment 3182319
ni kweli na huyo natanyahu anafanya mauaji ya kimbari
 
Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.

Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya Israeli.

Amesisitiza kuwa huo ni ukatili usio kubalika na binaadamu yeyote.

View attachment 3182319
Kasemaje kuhusu mauaji ya oct 7?
 
Lakini,tuliyachokoza mazayuni sisi wenyewe.Ngoja yatufundishe kuwa na adabu njema kwa wengine.Yanapiga balaa.Vita haina macho.
 
Waisrael hawaangalii Huyu muisilamu huyu Mkristo, Makanisa yanalipuliwa kama misikiti, Mapadre wanauliwa kama masheikh, mtu yoyote anaefikiri hapo wanaopigwa ni waisilamu tu ujue Iq yake ni ya kuvukia barabara tu.
Watu wala hawataki kufikiri sawasawa kwenye hili, wao mapenzi yao yapo kwa hao wazayuni tu , ndio madhara ya Kuamini tu bila uthibitisho.
 
Papa ni mnafiki,mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo tu.dunia ilivyowazi ukichokonoa tu unapata mambo bana...vita vyote ulimwenguni hupangwa na hio vatican under the power of satan mwenyewe..umewai sikia mwenyekiti wa umoja wa mataifa??? Lah ila utasikia tu oh katibu mkuu wa umoja wa mataifa.mwenyekiti yupo ambae ni shetani mwenyewe.so mamlaka vatican kampa black pope ambae hujifanya kua kiongozi wa serikali zote,huyu papa mweupe ye hujifanya kiongozi wa dini zote...ndio dini zote hata hio ya waarabu.unafiki wa mapapa weupe ni kujifanya wanautakia ulimwengu amani na kumbe nyuma ya ajenda ni uasi tu.
Kwamba huyu papa ndio kiongozi wa waislamu, kwani huwa mnalala usiku usingizi ukaisha?! sisi hatuna kiongozi mmoja dunia nzima baada ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake, nyie endeleeni kuandikiwa visangalaweni na vibrosha sijui broncha kila siku new version mambo yetu tuachieni wenyewe.
 
Papa ambaye alishawahi kuitawala Mashariki ya Kati kwa miaka zaidi ya 200 akiwa na kikosi chake Katili zaidi Cha Crusaders unasema hajui historia ya Mashariki ya Kati? You must not be serious.
 
Mungu ambariki Papa.

Hivi hao magaidi ambao Israel wanasema wanawaua mbona hawatangazwi? Kila siku wanaua watoto kwa kichaka cha magaidi ambao hawatangazwi kuuawa.

Lakini, Netanyahu anachokifanya hivi sasa matokeo yake yatakuja kuonekana baada ya kupita miaka 20+.

Hawa watoto wanaopitia haya mateso, wanaona ndugu na wazazi wakiuawa kila siku na kukosa makazi hawatowaacha Waisrael salama.
Watakaokuja kuteseka ni watoto na vijana wa Israel wa hivi sasa huyo Netanyahu wala hatokuwepo.

Muarabau hajui kusamehe, hiki kisasi kitalipwa.
 
Back
Top Bottom