Papa Francis atangaza Jumatano ya Majivu (Machi 2) kuwa siku ya kufunga na kuomba kwa ajili ya Ukraine

Papa Francis atangaza Jumatano ya Majivu (Machi 2) kuwa siku ya kufunga na kuomba kwa ajili ya Ukraine

Kanisa linatumiwa na wamarekani kuiombea Ukraine kwani inashida gani? Waache kugombanisha watu walio katika utani wa hapa na pale. Waliokufa hadi sasa sio wengi ukilinganisha na wanaoishi.
 
Mi nitafunga kuanzia tarehe kuiombea Afrika
Nalog off
 
Si Bikra Maria, Mungu, wala Watakatifu watakaokusikiliza. The Vicar of Christ (Mwakilishi wa Kristo hapa duniani) na mwenye ufuguo wa 'kufunga au kufungua' ameagiza muiombee Ukraine, halafu wewe unaenda kinyume chake kuna atakayekusikiliza huko mbinguni?
Huyo ana ufunguo wa GHETO la shetani usituletee uongo nyakati hizi, yupo mwingine ilikuwa karne ya 15 alianzisha kadi la masamaha kwamba ukitenda dhambi unalipa hela kisha unasamehewa kumbe jamaa walikuwa wanarekebisha uchumi uliyopinda chezea watu weye, sasa nawewe upo huko kijijini Lumbwegesa umeaminishwa kwamba huyu wa sasa hivi kashika ufunguo wa mbinguni?
 
Si Bikra Maria, Mungu, wala Watakatifu watakaokusikiliza. The Vicar of Christ (Mwakilishi wa Kristo hapa duniani) na mwenye ufuguo wa 'kufunga au kufungua' ameagiza muiombee Ukraine, halafu wewe unaenda kinyume chake kuna atakayekusikiliza huko mbinguni?
Ndo maana wazee walisema Mungu si Athumani.............huyo na huo ufunguo wake labda atawafungia mazombi kama nyie tu
 
Ndo maana wazee walisema Mungu si Athumani.............huyo na huo ufunguo wake labda atawafungia mazombi kama nyie tu
Hawa ndo wakitenda dhambi wanaenda kupiga magoti kwa viongozi wao fulani wasamehewe dhambi kumbe huyo anaesamehe katoka kula tunda kimasihala
 
Si Bikra Maria, Mungu, wala Watakatifu watakaokusikiliza. The Vicar of Christ (Mwakilishi wa Kristo hapa duniani) na mwenye ufuguo wa 'kufunga au kufungua' ameagiza muiombee Ukraine, halafu wewe unaenda kinyume chake kuna atakayekusikiliza huko mbinguni?
Ko huyo anayetete mashoga na wafiraji ndio Mungu atamsikiliza,,?? Haiwezekani,,, atayasikia maombi yangu Mimi ninayefua kanuni Bora za kidini
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameonesha kuguswa na kinachoendelea baina ya Urusi na Ukraine, ambapo amesema hatari ya vita ilisababisha maumivu makali moyoni mwake

Papa ametoa wito kwa watu wote duniani kutumia siku ya Machi 2 ambayo ni siku ya Jumatano ya Majivu, kufunga na kuiombea Ukraine

Ripoti zinaonesha tayari Urusi imeanza kuishambulia Ukraine, hata hivyo Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema watashinda.

=====

During the General Audience on Wednesday, Pope Francis made a heartfelt appeal for peace in Ukraine, saying that the threat of war had caused “great pain in my heart.”

“Despite the diplomatic efforts of the last few weeks,” the Pope said, “increasingly alarming scenarios are opening up,” with many people all over the world feeling anguish and pain.



He also prayed that “all the parties involved refrain from any action that would cause even more suffering to the people, destabilizing coexistence between nations and bringing international law into disrepute.”

Prayer and fasting for peace
Speaking at the end of the General Audience, Pope Francis invited everyone to make 2 March, Ash Wednesday, a Day of Fasting for Peace.

“I encourage believers in a special way to dedicate themselves intensely to prayer and fasting on that day. May the Queen of Peace preserve the world from the madness of war,” he said.

Russia and sanctions
As the threat of war looms in Eastern Europe, the United States sought to put pressure on Russia on Wednesday by stepping up sanctions.

The U.S., the European Union, Britain, Australia, Canada, and Japan planned to target banks and elites while Germany froze a major gas pipeline project from Russia.

British Foreign Secretary Liz Truss said Britain would stop Russia from selling sovereign debt in London.

The moves come after Russia deployed troops in separatist regions of eastern Ukraine.

Putin on Monday recognized the enclaves in the Donbas region which border Russia, raising increasing fears in the West of a major war.

Pope at Audience: Alliance between generations must be found again


Ukraine prepares
According to the Ukrainian military, one soldier was killed and six wounded in increased shelling by pro-Russian separatists using heavy artillery over the previous 24 hours.

The military also said Ukraine has started conscripting reservists aged 18-60 following a decree by President Volodymyr Zelenskiy.

Meeting on hold

As the current situation intensifies, the White House said a possible meeting between U.S. President Joe Biden and President Putin is "certainly" not an option at the moment, adding that a de-escalation of conflict with Ukraine would be needed for such a summit.
Haya sasa walishaomba, mbona bado vita vinazidi kukolea?
 
Back
Top Bottom