Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Ikiwa ni siku tatu toka afanyiwe upasuaji wa kuondoa sehemu ya pafu lake kutokana na kuwa na ugonjwa wa saratani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV anaendelea vizuri na leo amefanikiwa kuadhimisha Misa Takatifu.
Papa Leo XIV ameadhimisha Misa ndani ya hospital ya Gemmeli anayotibiwa ambapo misa hiyo
imehudhuriwa na wafanyakazi wa hospital hiyo.
Pia vipimo vya maabara pamoja na vya X-ray vimeonesha kuwa afya ya Papa Leo XIV inaendelea kuimarika sawasawa na matarajio ya madaktari.
Soma Pia: Pope Leo XIV agunduliwa kuwa na cancer ya pafu
Chanzo: Vatican News.