Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Yule sio mlokole ni mkatoriki, wakatoriki hawamuachii Mungu wanakuombea huku unatibiwa hospital πππππππIngekuwa Africa ungesikia mleteni tumuombee. Watu wanakesha wakiomba kansa imwachie!
Yule sio mlokole ni mkatoriki, wakatoriki hawamuachii Mungu wanakuombea huku unatibiwa hospital πππππππ
Huku kwetu watawala wanaficha ugonjwa ili hali maradhi ni kawaida kwa kiumbe haiHatari aisee
Mungu nisaidie na wewe unaweka nguvu zako, in this case hospital treatment!Yule sio mlokole ni mkatoriki, wakatoriki hawamuachii Mungu wanakuombea huku unatibiwa hospital πππππππ
Na sadaka unatoa!Mungu nisaidie na wewe unaweka nguvu zako, in this case hospital treatment!