Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Papa Leo wa XIV ametoa wito wa kuachiliwa kwa waandishi wa habari walioko gerezani katika hotuba yake ya kwanza kwa wanahabari huko Vatican.
Ameeleza mshikamano wake na waandishi waliotupwa jela “kwa kutafuta na kuripoti ukweli” na kusema kwamba mateso yao “yanaitikisa dhamira ya mataifa na jumuiya ya kimataifa.”
Amesisitiza kuwa uhuru wa vyombo vya habari ni lazima uteteewe, na kwamba vyombo vya habari vina jukumu la kuhakikisha “zawadi ya thamani” ya uhuru wa kujieleza inalindwa.
Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari imeripoti kuwa waandishi 361 walikuwa gerezani mwaka 2024.
====================
Pope Leo XIV has called for the release of imprisoned journalists in his first address to members of the media at the Vatican.
He expressed solidarity with journalists who were jailed "for seeking and reporting the truth" and said their suffering "challenges the conscience of nations and the international community".
Press freedom must be defended, he said. The media must ensure that the "precious gift" of free speech is protected.
The Committee to Protect Journalists said 361 journalists were in jail in 2024.