Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Wewe ulikuwa hautembei na sasa unatembea kwa msaada wa mafuta ya upako?Aje Kwa Mwamposa kuna mafuta ya upako huku viwete wanatbea mbona
Kweli kabisa, hapa penyewe sasa Mwamposa ajipatie tukufu amnyweshe upako papa awe mzima kwa jina la Yesu.Aje Kwa Mwamposa kuna mafuta ya upako huku viwete wanatbea mbona
Labda kama huo upasuaji umefanyika Amana au Mwananyamala lakini kama ni ulaya kama kufa atakufa kwa sababu siku zimefika siyo kwa sababu ya upasuaji wa uvimbe kwenye mapafu.Huu ni mwanzo wa kifo chake, uvimbe mapafuni?! Ni hatari endapo operesheni itashindwa
Mkuu, huyo ana madaktari wake na alikuwa anafanya checkup kawaida ndo akakutwa na hiyo shida. Hapa kwetu tunasubiri tuumwe ndo tukaonane na madaktari,wao hawasubiri. Sasa angekuwa Bongo asingegundulika mapema bali angegundulika muda umeenda ambapo imefikia stage mbaya ya kufa.Pengine hata angekufa ghafla bila chanzo kujulikanaWazungu mtu ana uvimbe mdogo kwenye mapafu, wala hajalazwa wala hana homa kwamba ameshindwa kufanya kazi ila wamegundua.
Huku Lukuledi mtu kama huyo anajiona mzima wa afya. Kazi kupondea vyakula vya Ulaya eti vina sumu wakati wenzetu life expectancy ni kubwa sana kutuzidi.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ametangaza kuwa atafanyiwa upsasuaji ndani ya siku chache zijazo ili kuondoa uvimbe kwenye mojawapo ya mapafu yake..
Papa Leo alitangaza hayo siku ya jumapili ya tarehe 11 Oktoba 2026.
Papa Leo alisema kuwa madaktari wamegundua uwepo wa uvimbe ulio kwenye hatua za awali sana na ambao haujasambaa hivyo kwa kufuata ushauri wa madaktari ,atafanyiwa upasuaji ili kuuondoa.
Ameomba sala za waumini wakati akielekea kufanya upasuaji huo.
Kanisa katoliki linajenga hospitali za mabilioni ili mkatibiwe na mkazalishwe uko. Halitegemei miujiza.Wamuombee tu miujiza ya YESU itamsaidia
Mbona wengi wanaombewa tu kwa miujiza
Na Mpaka ngoma wanapona
fasta !!!!
Wale waliomtembelea tokea upande huu hawakufanya yao kweli!!Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ametangaza kuwa atafanyiwa upsasuaji ndani ya siku chache zijazo ili kuondoa uvimbe kwenye mojawapo ya mapafu yake..
Papa Leo alitangaza hayo siku ya jumapili ya tarehe 11 Oktoba 2026.
Papa Leo alisema kuwa madaktari wamegundua uwepo wa uvimbe ulio kwenye hatua za awali sana na ambao haujasambaa hivyo kwa kufuata ushauri wa madaktari ,atafanyiwa upasuaji ili kuuondoa.
Ameomba sala za waumini wakati akielekea kufanya upasuaji huo.