Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kweli tapeli ni tapeli tu
kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake kwa tapeli maarufu wa mjini papa msofe..akiwa anaongea kwa kujiamini mh mlaya alisema ameshangazwa sana unajua hiyo sehemu nilijenga baada ya hapo nikaweka nyumba ya kukaa mtu na kuzungushia uzio baada ya hapo nikasafiri nje ya nchi..wakati nakuja likizo nikaambiwa kuna mtu amekuja anadai kile kiwanja chake kwa kuwa sikuwa na muda mrefu sikupata kuweza kutafutia ufumbuzi nikamwachia ndugu yangu documents zote..bahati akaja jamaa anajiita hamis magale yeye ndio mmiliki akaombwa aonyeshe documents akadai tutazikuta ardhi...jamani hii wizara ya ardhi loh
muda si mrefu nikarudi tanzania nikaanza kufwatilia ndipo akaja huyo jamaa anajiita hamis nikamwambia twende ardhi
ukaonyeshe information zako...nikaenda moshi nikiwa moshi nikaambiwa wamevunja uzio wote ,,hee siku inayofwata nikaambiwa wamevunja na nyumba yangu nikaenda nikarudi nikaenda polisi kawe kuwaeleza huu uhuni wa huyu mtu akadai atafutwe aletwe yeye akawa akiwasiliana na mkuu wa polisi kituo cha kawe na baadhiya polisi wakimdanganya aendelee kujenga.
Ilipofika waakti akaanza kuweka uzio na mimi nikaenda kuvunja nikamfwata mkuu wa kituo cha osterbay akanipa mpeleelzi ambae siku ya kukutana na mmiliki nikaaletewa barua nayeye anajiita marijan msofe..akaomba tukae sehemu tuongee na kunitaka kama nataka nimwachie kiwanja changu nimpe hela alizolipa ardhi kupata kiwanja.
Jamani huyu mtu nimshenzi sana baada ya muda nikaona kaja na gari lingine waakti tukiongea na mkuuwa upelelezi niliepewa ...nilishangaa sana kuona papa msofe akiitwa na mkuu wapolisi wa kawe wakaingia ndan zaidi ya nusu saa alafu mkuu huyo akaniita akaniambia kwa nini msikae mwongelee mmalize..nilimshangaa sana sana watanzania na ndugu zangu wa cluods nasema hii nchi imeshauzwa documents zangu halali hizi hapa ajabu polisi anashindwa kusimamia uhuni wa huyu tapeli kisa wamekuwa wakishirikishwa ni aibu sana lakini ntasimama na haki yangu aitaenda bure
nanukuu
hivi jamani watanzania huyu jamaa ametapeli madini wengi tu na ni mtandao mkubwa pale kariakoo sasa ameanza kuingilia na ardhi nani anamlinda najua kipindi cha mahita alimtumia sana sana na baadhi ya defenders kufanikisha unyama wake baada ya hapo anawakatia fungu sasa sijui huyu mwema nae anatupeleka wapi
mungu ibariki tanzania;mchaga usimwachie huyo mpaka dunia iseme utapeli basi