Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha

Papa msofe atapeli kiwanja mbezi beach;atumia polisi wa kawe kuhalalisha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kweli tapeli ni tapeli tu
kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake kwa tapeli maarufu wa mjini papa msofe..akiwa anaongea kwa kujiamini mh mlaya alisema ameshangazwa sana unajua hiyo sehemu nilijenga baada ya hapo nikaweka nyumba ya kukaa mtu na kuzungushia uzio baada ya hapo nikasafiri nje ya nchi..wakati nakuja likizo nikaambiwa kuna mtu amekuja anadai kile kiwanja chake kwa kuwa sikuwa na muda mrefu sikupata kuweza kutafutia ufumbuzi nikamwachia ndugu yangu documents zote..bahati akaja jamaa anajiita hamis magale yeye ndio mmiliki akaombwa aonyeshe documents akadai tutazikuta ardhi...jamani hii wizara ya ardhi loh
muda si mrefu nikarudi tanzania nikaanza kufwatilia ndipo akaja huyo jamaa anajiita hamis nikamwambia twende ardhi
ukaonyeshe information zako...nikaenda moshi nikiwa moshi nikaambiwa wamevunja uzio wote ,,hee siku inayofwata nikaambiwa wamevunja na nyumba yangu nikaenda nikarudi nikaenda polisi kawe kuwaeleza huu uhuni wa huyu mtu akadai atafutwe aletwe yeye akawa akiwasiliana na mkuu wa polisi kituo cha kawe na baadhiya polisi wakimdanganya aendelee kujenga.

Ilipofika waakti akaanza kuweka uzio na mimi nikaenda kuvunja nikamfwata mkuu wa kituo cha osterbay akanipa mpeleelzi ambae siku ya kukutana na mmiliki nikaaletewa barua nayeye anajiita marijan msofe..akaomba tukae sehemu tuongee na kunitaka kama nataka nimwachie kiwanja changu nimpe hela alizolipa ardhi kupata kiwanja.

Jamani huyu mtu nimshenzi sana baada ya muda nikaona kaja na gari lingine waakti tukiongea na mkuuwa upelelezi niliepewa ...nilishangaa sana kuona papa msofe akiitwa na mkuu wapolisi wa kawe wakaingia ndan zaidi ya nusu saa alafu mkuu huyo akaniita akaniambia kwa nini msikae mwongelee mmalize..nilimshangaa sana sana watanzania na ndugu zangu wa cluods nasema hii nchi imeshauzwa documents zangu halali hizi hapa ajabu polisi anashindwa kusimamia uhuni wa huyu tapeli kisa wamekuwa wakishirikishwa ni aibu sana lakini ntasimama na haki yangu aitaenda bure

nanukuu

hivi jamani watanzania huyu jamaa ametapeli madini wengi tu na ni mtandao mkubwa pale kariakoo sasa ameanza kuingilia na ardhi nani anamlinda najua kipindi cha mahita alimtumia sana sana na baadhi ya defenders kufanikisha unyama wake baada ya hapo anawakatia fungu sasa sijui huyu mwema nae anatupeleka wapi

mungu ibariki tanzania;mchaga usimwachie huyo mpaka dunia iseme utapeli basi
 
E bwana hawa mapapaa wengi ni WEZI,MATAPELI mdau ni kweli papa musofe ni tapeli kupindukia amewatapaeli wazungu madini sana,kuna jack pemba mwizi,ndama mutoto ya ngo'mbe mwizi nani anowalinda hawa wezi? PAPA MUSOFE NI TAPELI LILOKUBUU NA ANAKULA NA MAGAMBA WA NGAZI ZA JUU NDO MAANA ACHUKULIWI ATUA.
 
sasa ameanza kutapeli wazawa hii mbaya sana yy aendelee kutapeli wa wekezaaji feki atuna shida nae lakini akianza kutapeli wazawa siku zake zitahesabika soon
 
Ukitaka kumweza huyu bwana nenda Aucland Tours uongee na mkewe.
Approach iwe ya ki romance zaidi (onyesha una mu admire) na ninakupa 100% utatafanikiwa.
 
Ukitaka kumweza huyu bwana nenda Aucland Tours uongee na mkewe.
Approach iwe ya ki romance zaidi (onyesha una mu admire) na ninakupa 100% utatafanikiwa.

Mdau una maanisha kwamba mkewe anaweza kukupa tunda?
 
Ukitaka kumweza huyu bwana nenda Aucland Tours uongee na mkewe.Approach iwe ya ki romance zaidi (onyesha una mu admire) na ninakupa 100% utatafanikiwa.
hapa umeniacha kidooogo,sasa mkewe ukimrembulia macho ndo itakuwaje jamanii?
 
Kweli tapeli ni tapeli tu
kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake kwa tapeli maarufu wa mjini papa msofe..akiwa anaongea kwa kujiamini mh mlaya alisema ameshangazwa sana unajua hiyo sehemu nilijenga baada ya hapo nikaweka nyumba ya kukaa mtu na kuzungushia uzio baada ya hapo nikasafiri nje ya nchi..wakati nakuja likizo nikaambiwa kuna mtu amekuja anadai kile kiwanja chake kwa kuwa sikuwa na muda mrefu sikupata kuweza kutafutia ufumbuzi nikamwachia ndugu yangu documents zote..bahati akaja jamaa anajiita hamis magale yeye ndio mmiliki akaombwa aonyeshe documents akadai tutazikuta ardhi...jamani hii wizara ya ardhi loh
muda si mrefu nikarudi tanzania nikaanza kufwatilia ndipo akaja huyo jamaa anajiita hamis nikamwambia twende ardhi
ukaonyeshe information zako...nikaenda moshi nikiwa moshi nikaambiwa wamevunja uzio wote ,,hee siku inayofwata nikaambiwa wamevunja na nyumba yangu nikaenda nikarudi nikaenda polisi kawe kuwaeleza huu uhuni wa huyu mtu akadai atafutwe aletwe yeye akawa akiwasiliana na mkuu wa polisi kituo cha kawe na baadhiya polisi wakimdanganya aendelee kujenga...ilipofika waakti akaanza kuweka uzio na mimi nikaenda kuvunja nikamfwata mkuu wa kituo cha osterbay akanipa mpeleelzi ambae siku ya kukutana na mmiliki nikaaletewa barua nayeye anajiita marijan msofe..akaomba tukae sehemu tuongee na kunitaka kama nataka nimwachie kiwanja changu nimpe hela alizolipa ardhi kupata kiwanja

jamani huyu mtu nimshenzi sana baada ya muda nikaona kaja na gari lingine waakti tukiongea na mkuuwa upelelezi niliepewa ...nilishangaa sana kuona papa msofe akiitwa na mkuu wapolisi wa kawe wakaingia ndan zaidi ya nusu saa alafu mkuu huyo akaniita akaniambia kwa nini msikae mwongelee mmalize..nilimshangaa sana sana watanzania na ndugu zangu wa cluods nasema hii nchi imeshauzwa documents zangu halali hizi hapa ajabu polisi anashindwa kusimamia uhuni wa huyu tapeli kisa wamekuwa wakishirikishwa ni aibu sana lakini ntasimama na haki yangu aitaenda bure

nanukuu

hivi jamani watanzania huyu jamaa ametapeli madini wengi tu na ni mtandao mkubwa pale kariakoo sasa ameanza kuingilia na ardhi nani anamlinda najua kipindi cha mahita alimtumia sana sana na baadhi ya defenders kufanikisha unyama wake baada ya hapo anawakatia fungu sasa sijui huyu mwema nae anatupeleka wapi

mungu ibariki tanzania;mchaga usimwachie huyo mpaka dunia iseme utapeli basi

Mkuu hakuna tofauti yoyote kati ya Mahita na huyu wa sasa, wote wako kwenye MGAO (PAYROLL) ya hawa matapeli! Mbaya zaidi hawa wadogo wakileta fyoko, jamaa anampigia Mahita, na Mahita anatoa maelekezo, soo linazimwa (si unajua vyeo vya kijeshi/kipolisi hata ukistaafu bado unaheshimiwa na wale walio na vyeo vya chini?)!
 
Ni mara zote papa msofe kuliko wewe uliegeuka mnyama si mtu tena.umemuua mwanangu umeniibia pesa zangu huoni aibu kujitokeza kwenye jukwaa kama hili?damu ya yule mtt uliyoimwaga itakusuta mpaka kaburini!na nitamwambia kila mtu hapa duniani ajiepushe na wewe mwizi,muuaji na tapeli mkubwa!hata kule jf saccos ole wao maana huna jema unaenda kuiba kule!kule kanisani unajidai mtu wa mungu kumbe umeficha midhambi yako.ole wa mtu yeyote anayedili na huyu mtu ni hatari sana bora ukutane na ibilisi atakuacha lkn si huyu mtu!tahadhari wadau!nina vithibitisho vyote!hafai kabisa kungekuwa na dunia nyingine ya kuhifadhi wahalifu angefaa apelekwe hana tena x-stics za ubinadamu!
Duu hii balaa sasa! unampa mtu ngumu nyeusi hadharani!?
 
Pole sana kaka, Huyu jamaa msofe ni wakufungwa jela...hebu mtafute mama tibaijuka (waziri wa ardhi) atakusaidia kwa jambo hili.
 
Mkuu hakuna tofauti yoyote kati ya Mahita na huyu wa sasa, wote wako kwenye MGAO (PAYROLL) ya hawa matapeli! Mbaya zaidi hawa wadogo wakileta fyoko, jamaa anampigia Mahita, na Mahita anatoa maelekezo, soo linazimwa (si unajua vyeo vya kijeshi/kipolisi hata ukistaafu bado unaheshimiwa na wale walio na vyeo vya chini?)!
una uhakika?
 
hivi huyo papa msofe jina lake halisi ni nani? nauliza ili niweze kumuepuka nikikumbana naye maana anaonekana kuwa ni mtu hatari sana
 
Mnategemea nini kama serikali yenyewe inaendeshwa kihuni au tuseme kimjini mjini?
 
Inasemekana huyu papa Msofe jogoo wake hawiki (kuna mademu maarufuwamethibitisha hilo) sasa haya mapesa anayoyatafuta kwa utapeli ni ya nini?
 
Mmmh.....km rais wa nchi,alienda kuilipa Richmond hela usiku wa manane pale Jk nyerere,huwoni hii nchi niyakila mtu ajirarulie kipande yake kadri awezavyo...akili kumkichwa!!
 
Pole sana kaka, Huyu jamaa msofe ni wakufungwa jela...hebu mtafute mama tibaijuka (waziri wa ardhi) atakusaidia kwa jambo hili.

hope kamana yeye ayuko kwenye payroll yao
 
Sidhani, ukumbuki jinsi alivyo mkomalia yule mhindi pale surrender bridge.
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siri imefichuka kumbe babangu mdogo
ni baridiiiiiii aluu!!!!ila bora kama ni joka la kibisa ,
angekuwa mzima si angeiba zaidiii!!!
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasiri imefichuka kumbe babang mdogoni baridiiiiiii aluu!!!!ila bora kana ni joka la kibisa ,angekuwaangekuwa mzima si angeiba zaidiii!!!
Yaani hata wewe Flora ikatokea akakutembelea ghetto kwako halafu assume una chumba na sebule na usiku ukawakuta nyumbani kwako naye hawezi kurudi kwake wala usimuogope lala naye tu Hana madhara sana sana atakuingiza vidole tu
 
ahaa af baada ya kuingiza vidole .ananipa vogue na kadi au ndo ananitapeli ! lakini kwa utapeli wake anaweza
kunipa kadi ya kimagumashi siku mbili naporwa vogue daaa huyu jamaa mkareeeeee!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom