Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?


Alianza utapeli wakati wa JK au kamalizia wakati wa JK? kwa kukupasha tu, rafiki yake mkubwa alikuwa Zombe.
 
Well done Chagonji, feleshi, Mwema and co. mko busy sana na uintelijensia wa nchi hii kwa kuvibana vyama vya upinzani lakini hii papa msofe iko barabarani kwa mida sasa bila presha, wazungu, china nk mingi sana imelia kwa kazi zake za kitapeli.
 
huyu jamaa ni hatari sana cha ajabu serikali inajua ila inakaa kimya,anashirikiana na jeshi la polisi
 
Junior Member



Join Date : 6th June 2011
Posts : 6
Thanks0
Thanked 1 Time in 1 Post

Rep Power : 0
 
Majunguuuuuuuuuuuuu...........kila mtu akiwa hana kitu ndio anaonekana Muungwana
Wanna show you majungu yakoje relax mate


 
Achane Majungu.......kwani ukijua kama alikuwa tapeli au alikuwa mwezi itakusaidia nini? Acheni mtima nyongo...nyie sio police wala nini.............majungu tu.........hapa kwenye huu mtandao anatakiwa great thinkers weeee toka kafanye kazi nyingine

OH yes! hum siku hizi wanatakiwa great thinker wenye kutetea WEZI na MATAPELI kama wewe! SHAME ON YOU!
 
The whole list ya hawa wahuni wanaotajirika kiwiziwizi iko mpaka kwa Mkwe.re, halaf wapumbavu flani wanakuja kuwatetea humu JF...huu ni ushenzi, hawa watu tunawafahamu vizuri sana kuliko nyie mnaopewa vijisenti na kukaa mkikata viuno jukwaani na kuwasifu kwa nyimbo! Kuliko nyie makkuwadi mnaowatafutia wanawake kwa ujira wa korolla!
MIAFRIKA BANA!......SHAME! SHAME! SHAME!....AAAAAARRRRRRRRRRGH, MMENIUDHI!
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa
Haya haya! maneno hayo
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa

Usiwasahau kina:

-Omari Mawamba,

-Ally Aurora wa Aurora Security

- Said Ntimizi sijui ana cheo gani ndani ya CCM!
 
kuna kipindi walikuwa na maskani yao SINZA pale! nyumba flani na maeneo ya Vatcan walikuwa na madeal ya kutengeneza pesa za bandia
 
jamani papaa musofe ni mume wa mnenguaji wa twanga pepeta, tena ni dereva wa wizara. Kama ni jambazi au mwizi au kibaka au tapeli hiyo ni project out of business
 
bujibuji umemchanganya na Fikiri madinda alikua dereva wa kigoda!Huwa najiuliza inakuaje mtu anagawa pesa hovyo hovyo kama alikua mpaka njia,papaa msofe,katunzi,fikiri madinda na huku hawana tangible business na tra wanawaangalia tuu!hawa wanatakiwa wakamatwe kama alivyokamatwa alex masawe na rey wa regency hotel maana walikua wafadhili wa majambazi.HIYO LIST HUJIITA MA PEDESHEE
 
Pia hawa ma pedeshee huchukua binti yeyote aliye kwenye mashindano ya umiss. LUNDENGA hupewa pesa ndefu kumpa ruhusa binti kupata dinner na pedeshee!pia hili kundi hutumiwa na vigogo serikalini kuwatafutia wanawake kuwapeleka mpaka hotel,kigogo kazi yake hua kukojoa na kuondoka.pia cheque za ufisadi hupitia ktk akaunti zao.mfano kimambi muuza unga alipofariki tibaigana alilia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…