Hao jamaa ni matapeli tu, ila serikali inajua nini kunaendelea, kwani muzamili wanamlinda sana, tena wakati wakitapeli wanakuwepo maofisa wa ikulu,Wizara ya mambo yandani ya nchi, TRA, na watu wa clearing and forwarding. Chakushangaza hivi raisi Kikwete na wewe unanunuliwa kama mkuu wa kituo cha police oystabey? Kawe?, tegeta?
Wachina na wazungu wanatapeliwa kila siku. Rais wa nchi hii upo wapi? Juzi nilikuwa japan kila mtu nilejaribu kuongea nae alikuwa na wasiwasi na Tanzania hasa biashara ya Madini, .kurugenzi wa usalama wa taifa sikuhizi makaliyenu yakowapi Msofe na Muzamil wanawashinda nini? Lawrence masha alininuliwa wakati alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani je Nahodha nae kanunuliwa? Au hizo pesa wanzochangia chama ndio zinazo waziba midomo.
NCCR mageuzi, Mtikila wote wanasaidiwa na muzamil fedha, Mtikila alisaidiwa fedha za kesi, NCCR mageuzi walipewa milioni miamoja hamsini kwenye uchaguzi uliopita. Je chadema mtalinyamazia hili?
Nakumbuka reaisi aliahidi kumaliza ujambazi na utapeli ambao unaweza kudidimiza uchumi wa nchi.
Kamanda kova alipokuja Dar alidhibiti lakini mara baada ya kupenyezewa bahasha alinyamaza kimya.
Je msajili wa makampuni nchini anahuzika? Maana hawa jamaa wanafungua makampuni na kisha wanayafunga baada ya kutapeli copper cathode face.
Je wanajamii tutanyamaza?
Je serikali ya Tanzania itanyamaza?
Je malaka za usalama zitanyamaza mpaka FBI waje kutusaidia Kazi?