Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

sidhani Kama Wana hela tena ya kutamba mtaaani
Msofe bado ana investments nyingi sana, network yake around the globe(I mean business associates) wapo na huwa hawatupani.
Ni full-time hustler na mtaji wake namba moja ni kichwa hivyo usitegemee kumuona level za mavumbini, ukiona mtu anatengeza michongo na kupiga pesa ndefu lakini inashindikana kupata ushahidi solid wa kumfunga ujue hicho ni kichwa.
Kesi ya kubumba waliyompachika wameshindwa kumfunga.
 
Pesa za SEMBE.
 
Subhaana lllaaah!!!
Hivi yanatokaje jela haya majizi
 
Ndio inaitwa biashara ya kuwafunga maboya midomo ili wasisanuke .
Mtu anamagari mengi ya kisasa halafu nyumba kibao halafu eti anauza mchanga seriously.??
 
Pesa za SEMBE.
Kama hujui mambo ya town yaache kama yalivyo, Msofe ni hustler yeah lakini kwenye sembe hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Ukisikia alivuta Wazungu au Wachina akawaingiza chaka akavuna milioni kadhaa za dollars labda ila si kwenye sembe.
 
Alimpeleka NRB au Mombasa akampa mshiko wake kabisa acha mtoto ajitume usiku kucha ghafla majambazi yakaingia lodge yakapora pesa yote kumbe ni washikaji zake Msofe,yaani ilikuwa nouma!


Kumbe wadangaji/malaya nao wanakutanaga na mambo mazito kiasi hicho?!

Yani nimecheka kwa sauti kubwaaaa [emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kutaka kwake dau kubwa kaishia kuliwa bure [emoji38][emoji38]

Kumbe wadangaji wanakutana na mengi?! [emoji14][emoji14]
 
Balaa kabisaa Irene enzi hizoo alikua hot balaa!kipindi hiko huduna za mpesa ndo ziko mwanzoni kabisa

Kazi zote zinachangamoto rafiki wanakutana na majanga sana!ila wanakomaa
 
Mkuu wewe unamuongelea ntenze wa ntenze...mzee wa kokoto....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…