Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha wako wapi nowadays?Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa
Huyo aliyekuwa mb kilombero juzi juzi tu alikuwa analilia msaada wa matibabu Yuko hoi bin taabanihahahaha wako wapi nowadays?
teyari kashapata yale ya bwana (kazi)............ haha okyHuyo aliyekuwa mb kilombero juzi juzi tu alikuwa analilia msaada wa matibabu Yuko hoi bin taabani
Ova
msofe alishinda kesiHuyu jamaa alikuwa na kesi ya mauaji, kesi hiyo iliishaje!?
nani huyo?Huyo aliyekuwa mb kilombero juzi juzi tu alikuwa analilia msaada wa matibabu Yuko hoi bin taabani
Ova
MaishaHuyu jamaa alikuwa na kesi ya mauaji, kesi hiyo iliishaje!?
AHAHAHA AMEKULA YA MBUZI SASA AMEOTA MAPEMBE.... OKAbdul mteketa
Ova
Hii ndio iliyokua serikali iliyoongozwa na JK (2005-2015)Hao jamaa ni matapeli tu, ila serikali inajua nini kunaendelea, kwani muzamili wanamlinda sana, tena wakati wakitapeli wanakuwepo maofisa wa ikulu,Wizara ya mambo yandani ya nchi, TRA, na watu wa clearing and forwarding. Chakushangaza hivi raisi Kikwete na wewe unanunuliwa kama mkuu wa kituo cha police oystabey? Kawe?, tegeta?
Wachina na wazungu wanatapeliwa kila siku. Rais wa nchi hii upo wapi? Juzi nilikuwa japan kila mtu nilejaribu kuongea nae alikuwa na wasiwasi na Tanzania hasa biashara ya Madini, .kurugenzi wa usalama wa taifa sikuhizi makaliyenu yakowapi Msofe na Muzamil wanawashinda nini? Lawrence masha alininuliwa wakati alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani je Nahodha nae kanunuliwa? Au hizo pesa wanzochangia chama ndio zinazo waziba midomo.
NCCR mageuzi, Mtikila wote wanasaidiwa na muzamil fedha, Mtikila alisaidiwa fedha za kesi, NCCR mageuzi walipewa milioni miamoja hamsini kwenye uchaguzi uliopita. Je chadema mtalinyamazia hili?
Nakumbuka reaisi aliahidi kumaliza ujambazi na utapeli ambao unaweza kudidimiza uchumi wa nchi.
Kamanda kova alipokuja Dar alidhibiti lakini mara baada ya kupenyezewa bahasha alinyamaza kimya.
Je msajili wa makampuni nchini anahuzika? Maana hawa jamaa wanafungua makampuni na kisha wanayafunga baada ya kutapeli copper cathode face.
Je wanajamii tutanyamaza?
Je serikali ya Tanzania itanyamaza?
Je malaka za usalama zitanyamaza mpaka FBI waje kutusaidia Kazi?
Ukitaka kujua utapeli wa Papa Msofe muulize Irene Uwoya!
Hahah dogo janja ataua mtu akijua,hahah.Alimpeleka NRB au Mombasa akampa mshiko wake kabisa acha mtoto ajitume usiku kucha ghafla majambazi yakaingia lodge yakapora pesa yote kumbe ni washikaji zake Msofe,yaani ilikuwa nouma!
Wametoka leo utawala wa kazi iendelehahahaha wako wapi nowadays?
sidhani Kama Wana hela tena ya kutamba mtaaaniWametoka leo utawala wa kazi iendele
DuuuhNawapa true story jinsi walivyo mliza rafiki yangu wa karibu toka arabuni. Rafiki alikuja nchini na akataka kununua dhahabu. Akaenda kwa sonara pale k'koo, sonara akampa contact za hussein na Msofe. Akawapigia simu wakamuomba aonane nao kndoni- vijana(mimi hakunishirikisha). Akiwa vijana nilimpigia simu nikashangazwa na yeye kuwa eneo lile kwa ni simuendaji wa baa na hapendi kwenda sehemu zenye kelele. Punde nika mfuata nika kuta anagana na Msofe + rafiki yake. Kumbe walikuwa wamemaliza mazungumzo ya biashara na walikuwa wamekubaliana kuwa watamuuzia dhahabu kilo 20. Alikaribishwa ofisini kwao na kuoneshwa dhahabu yenyewe na akashuriwa achukue kidogo akahakiki kwa sonara, alifanyahivyo. Baada ya kuhakiki alilipa na wao walikubali kulipa mrahaba wa mamlaka ya madini(30%). Sanduku lifungwa kwa kufuri aliyonunua huyo mnunuzi na kuwekewa seal ya stamico. Wauzaji walimshauri aliache sanduku aje alichukue wakati wa kwenda aeroport- alikubali. Siku ya safari alikuja kuchukua sanduku lake, alipofika walimuomba ajiridhishe kuwa sanduku lake ni lenyewe- alihakiki: MCHEZO ULIPOFANYIKA: wakati anataka kutoka husein alimuanzishia story juu ya future cooperation na wakati huo akaita walinzi wabebe sanduku(sanduku likabadilishwa). Mteja (1afiki yangu) akaondoka. Alipofika arabuni alikuta kwenye sanduku kuna vipande vya nondo. Aliwapigia simu kuuliza kulikono- wakawa wakali kuwa wao ni watu safi wanaoheshimika na washika dini kwa hiyo hawawezi kufanya mchezo huo.
Aiseeee[emoji848][emoji87]Nawapa true story jinsi walivyo mliza rafiki yangu wa karibu toka arabuni. Rafiki alikuja nchini na akataka kununua dhahabu. Akaenda kwa sonara pale k'koo, sonara akampa contact za hussein na Msofe. Akawapigia simu wakamuomba aonane nao kndoni- vijana(mimi hakunishirikisha). Akiwa vijana nilimpigia simu nikashangazwa na yeye kuwa eneo lile kwa ni simuendaji wa baa na hapendi kwenda sehemu zenye kelele. Punde nika mfuata nika kuta anagana na Msofe + rafiki yake. Kumbe walikuwa wamemaliza mazungumzo ya biashara na walikuwa wamekubaliana kuwa watamuuzia dhahabu kilo 20. Alikaribishwa ofisini kwao na kuoneshwa dhahabu yenyewe na akashuriwa achukue kidogo akahakiki kwa sonara, alifanyahivyo. Baada ya kuhakiki alilipa na wao walikubali kulipa mrahaba wa mamlaka ya madini(30%). Sanduku lifungwa kwa kufuri aliyonunua huyo mnunuzi na kuwekewa seal ya stamico. Wauzaji walimshauri aliache sanduku aje alichukue wakati wa kwenda aeroport- alikubali. Siku ya safari alikuja kuchukua sanduku lake, alipofika walimuomba ajiridhishe kuwa sanduku lake ni lenyewe- alihakiki: MCHEZO ULIPOFANYIKA: wakati anataka kutoka husein alimuanzishia story juu ya future cooperation na wakati huo akaita walinzi wabebe sanduku(sanduku likabadilishwa). Mteja (1afiki yangu) akaondoka. Alipofika arabuni alikuta kwenye sanduku kuna vipande vya nondo. Aliwapigia simu kuuliza kulikono- wakawa wakali kuwa wao ni watu safi wanaoheshimika na washika dini kwa hiyo hawawezi kufanya mchezo huo.
[emoji23][emoji23]Alimfanyaje Irene Mwenyewe tapel