Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
uzungu wa unga mchezo!hathubutu hata sekunde!anapiga inshu za inurance na tender za kizushizushi!.....ni chizi mziki tu siyo kama ana mpunga mrefu kama jina lake linavyopaishwakwa hiyo ana ishu gani hapa town,au ndo wazungu wa unga?
ha ha ha ha seriuos? ndo huyoView attachment 243531Huyu hapa
Ndugu yangu Muuza Sura kashamaliza kwamba jamaa ni wa fooo kabisa yani Maseke teee....Mzigo empty kabisa wa baridi kabisa....Angekua mzungu wa unga lazima angekua na mzigo mrefukwa hiyo ana ishu gani hapa town,au ndo wazungu wa unga?
Nimecheka sanaMshamba mmoja wa iringa hana mzigo wala nini. .ujanja wake kuvaa kaptula na kunyoa upara!