Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
uzungu wa unga mchezo!hathubutu hata sekunde!anapiga inshu za inurance na tender za kizushizushi!.....ni chizi mziki tu siyo kama ana mpunga mrefu kama jina lake linavyopaishwakwa hiyo ana ishu gani hapa town,au ndo wazungu wa unga?