Papaa MSOFE ashindwa kufika mahakamani

Papaa MSOFE ashindwa kufika mahakamani

Msofe ana dhambi nyingi sana. Kumchukulia demu tu mi naona haitoshi kabisa, bora afie huko huko jela abaki historia tu huyu.
 
sasa ndo aende kufunga ndoa na mwanaume mwingine katika hiki kipindi kigumu cha mwenzie!!!!!!!?????

kesi ya mauaji hiyo mkuu, haina kutoka leo wala kesho.
Bora hakufanya unafiki akaamua kuolewa kabisaaa.
Kuliko wengine wanajifanya wanasubiri kumbe wanachakachua vya kutosha.
Kumsubiri mwenye kesi kama yake ni sawa na kusubiri meli airport.
 
Umeuwa hahahahahaha nimecheka sasa balaa meli airport
 
Hata fransis nguza ndugu yake papi kocha mbona na yeye demu wake aliolewa baada ya jamaa kufungwa, fransis kutoka kakuta ndama mtot wa ng'ombe kaoa. Myu anakesi zisizojulikana wisho we usubiri tu, na akitoka akaoa mwingine utalia na nani? maana wanaume wenyewe hawaamini siku hizi ni kama wamekumbwa na mabadiliko ya tabia nchi. Bora kaamua kuolewa kabisa si ajabu binti wa wawatu alikuwa anaomba ndoa anaambiwa subiri jamaa hajui anaoa lini.
 
Wakuu hebu wekeni hizo picha tumuone huyo mwanamke mkali aliolewa tumuone!
 
Wakuu hebu wekeni hizo picha tumuone huyo mwanamke mkali aliolewa tumuone!
~
Picha za huyo demu jamani ziko wapi?! Maana mnasema mkareeee angalau wengine nasi tumuone

~
IMG-20141006-WA0028.jpg

KIWADINYO MRISHO KIKWETE AKIWA NA MKEWE(Ex-wa Musofe)
 
achana na uzuri wa sura, pia anakau-shape katamu ni balaa.
Mie mwanamke ile vizuri kazima tuvisifie kwa kweli
 
duuuuuuuu!!!!!!!!!!! mtoto kweli kifaaa

kiwadinyo amependa kweli.
Send off kaigharamia hadi usafiri wa wanandugu kwenda mwanza na kuja kwenye ndoa.
Kiislam, sherehe ya ndoa ina gharamiwa na familia ya mke.
Ila hii, ndugu wa mke walipewa kadi tu waje kuhudhuria ndoa.
Kila kitu kiligharamiwa na jamaa.
Kulijaa mapedeshee wa ukweli
 
du..misalaba mingine sio ya kujitwika hata kiduchu..
 
kiwadinyo amependa kweli.
Send off kaigharamia hadi usafiri wa wanandugu kwenda mwanza na kuja kwenye ndoa.
Kiislam, sherehe ya ndoa ina gharamiwa na familia ya mke.
Ila hii, ndugu wa mke walipewa kadi tu waje kuhudhuria ndoa.
Kila kitu kiligharamiwa na jamaa.
Kulijaa mapedeshee wa ukweli

Chezea La Proefeseli na Rizimoko weiweee tembo na sembe haziongopi,big money heavy weight.
 
kiwadinyo amependa kweli.
Send off kaigharamia hadi usafiri wa wanandugu kwenda mwanza na kuja kwenye ndoa.
Kiislam, sherehe ya ndoa ina gharamiwa na familia ya mke.
Ila hii, ndugu wa mke walipewa kadi tu waje kuhudhuria ndoa.
Kila kitu kiligharamiwa na jamaa.
Kulijaa mapedeshee wa ukweli

mdada wa wapi huyuuu...?!!
 
Huyo hata bure simtaki... najua wakina profeseri wakimuona watanipokonya af ntaishia jela kama wale ndugu zetu wapiga bendi
 
Back
Top Bottom