SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,160
- 905
Kiungo wa Senegal Pape Gueye amechapisha ujumbe kwenye insta story yake akiweka wazi kutitoa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal hadi benchi la Ufundi litakapofanyiwa mabadiliko.
"Nitarejea baadae kuwaambia maneno machache kuhusu kutolewa kwetu, lakini leo natangaza kwamba ikiwa benchi hili la ufundi lipo nitachukua mapumziko kutoichezea timu ya taifa" - Pape Gueye
Makasiriko haya yanakuja baada ya kutolewa katika hatua ya 32 bora na Ubelgiji dakika za jioniiii baada ya wao kuongoza 2-0 kwa takribani dakika 85.
Benchi la ufundi la Senegal:
Pape Thiaw - Kocha Mkuu (Legend wa Sénégal)
Teddy Pellerin - Kocha Msaidizi (Ufaransa)
Lamine Diagne - Kocha Msaidizi 2 (Senegal)
Kocha wa makipa - Tonny Sylvia (Legend wa Sénégal)
Kifupi Dogo kaumia kurudishiwa zile goli mbili punde tu baada ya kocha kufanya sub.
Unakubaliana na uamuzi wa Pape?