Pape Osman Sakho Special Thread

Pape Osman Sakho Special Thread

Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi
 
FNvz8p_WUAYZM-G.jpeg

usiponyunyiza utanyunyizwa
 
Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi
Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu
 
Mtu anayegonga vichwa namuheshimu Sana Boko mipira Kama ile haruki anainama cjui hua anajiona kichwachake Kiko wazi ....
 
Back
Top Bottom