Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na MugaluSimba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi
Mtu anayegonga vichwa namuheshimu Sana Boko mipira Kama ile haruki anainama cjui hua anajiona kichwachake Kiko wazi ....Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu
Mume tena!? Si kaishatolewa posa huyu, mahari ya cow 2 ndio kishika uchumba, watu wakimalizia wanachukua mke waoMnaturuhusu tufungue thread ya mume wenu mzee wa kutetema?