kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
NdioSimba wakiwa makini watamuuza kwa pesa nzuri sana huyu mchezaji
Mashabiki wa Simba na yanga sio wa kuwasikilizaNdio
Ukumbuke pia walitaka kumwacha kwa presha na kelele za mashabiki
Wakichagizwa na wachambuzi waoMashabiki wa Simba na yanga sio wa kuwasikiliza
Wengi hulalamikia vitu wasivyovifahamu
Sio kweli, angalia timu saivi haikamiwi kama ilivyokuwa kabla ya yanga kutangazwa ubingwa.Wanamwita Mzee wa kunyunyiza a.k.a Sadio mane wa east Africa.
Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo.
Kiukweli huyu jamaa anajua ni msaada mkubwa kwa Simba SC kama watampata kocha mzuri anaejua kuwatumia wachezaji
Kushindwa kwa Pablo kuwatumia vyema wachezaji ndio kumeifanya Simba SC ishindwe kutamba msimu huu, Ila kama ni wachezaji wapo wakutosha na timu isiingie kwenye mkenge wa kuacha wachezaji wengi kwani kina SAKHO wapo wengi klabuni.
Acha SAKHO aendelee kutoa burudani kipindi hiki MBAPPE na NEYMAR wakiwa likizo.
Kama walivyomuacha Duncan Nyoni asee, Yule Dogo fundi Sana amecheza muda mchache Ila akiingia anapiga touches flan hivi amazing.Ndio
Ukumbuke pia walitaka kumwacha kwa presha na kelele za mashabiki
Ni kukosa uvumilivu tu.Mashabiki wa Simba na yanga sio wa kuwasikiliza
Wengi hulalamikia vitu wasivyovifahamu
Hatuna wachambuzi bongo, Yani wapo wapo Tu, hawatafuti habari. Wanapost habari kwa mihemuko na sio kwa kuzingatia profession.Wakichagizwa na wachambuzi wao
Amecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.
Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Wakati Sakho aliona umuhimu wa Kibu akampa mpira kisha akasogea na kupokea pasi tena murua ya Kibu, wewe unaonyesha dharau kwake Kibu mtoa pasi...Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo.
Kuna mabeki wakatili kama wa makundi CAF? ππ πAmecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.
Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Kulikuwa na sababu ya kuniita pimbi, mshamba, nk! Kwani ukimjibu mtu kwa kujenga hoja unapungukiwa nini?Usisahau pia amecheza na beki wa CAF robo final na akafurukuta so usikariri maisha pimbi wewe
Mayele hajafunga mechi tatu zote za Simba je nae tuseme ni mbaya ? Acha ushamba
Achana naye mkuuKulikuwa na sababu ya kuniita pimbi, mshamba, nk! Kwani ukimjibu mtu kwa kujenga hoja unapungukiwa nini?