Pape Osman Sakho

Anakumbuka blanketi wakati kumekucha, alikuwa wapi?
 
Ni kweli wew ni pimbi🤣🤣🤣..maelezo yako ni ya kipimbi
Kwa hiyo mnanichukulia kama Haji Manara au Maulidi Kitenge vile! Hamjawahi kuwapenda hawa watu. Kisa tu wana wakera!

Sasa uzi mzima ukijaa sifa za Sakho, si hata yeye mwenyewe akipita humu si atavimba kichwa na kubweteka? Anatakiwa pia apaye mawazo mbadala ili aimarike zaidi. Ni mchezaji mzuri. Ila anatakiwa aongeze juhudi zaidi.
 
Kweli mkuu kwenye upinzani wa jadi hata kama najua mayele ni mchezaji mzuri lazima ntamponda na kumkashifu...huku moyoni nikiumia zaidi na goli lake zidi ya azam..maana tulijua inatoka draw...jamaa kwa sifa akafunga goli tena mbaya zaidi kwa bicycle kick😤😤😤
 
Shacho ynupo vizuri ndo n
B
Jikite ktk Government as well
???????
Amecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.

Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Mgosi umetoa boko. Huyu mchezani bao lake kwenye mashindano ya CAF limekuwa moja ya ma mabao bora kabisa msimu.
 
Huyu dogo na mwenzake Banda ni miongoni mwa wachezaji waliochelewa sana kuaminiwa na makocha, nakumbuka hadi mechi ya raundi karibu ya 10 walikuwa hawaanzishwi.
Ni tatizo hilo
 
Wewe ndiye unaongoza kuwaita wanasimba mbumbumbu, kuwa mpole na wewe unawakera watu ujue
Sasa ndugu zangu mbona mnanionea kiasi hiki! Kwani aliyewaita hili jina la "mbumbumbu" nyinyi mashabiki wa simba, ni mimi Tate Mkuu , au ni Mwenyekiti wenu wa zamani Mh. Ismail Aden Rage?

Mimi si huwa nawakumbusha tu ili msisahau! Mbona na nyinyi huwa mnatukumbusha yale maneno ya kukera ya Luc ya kutufananisha sisi mashabiki wa Yanga na Manyani lakini hatulalamiki!
 
???????
Mgosi umetoa boko. Huyu mchezani bao lake kwenye mashindano ya CAF limekuwa moja ya ma mabao bora kabisa msimu.
Mimi mbona nimemuongelea kwenye mechi zaidi ya 3 walizocheza na Wananchi Yanga! Mimi sikumuongelea kwenye hayo mashindano yenu ya CAF!

Na nimewaambia kabisa anatakiwa apunguze kucheza na jukwaa kama ilivyokua kwa mchezaji wetu mahiri Mrisho Khalfan Ngassa! Maana atapotea mapema kwenye game kuliko anavyo tarajia.
 
Tena mambwa mnabweka bweka hovyo 😂
 
Huo ni wivu tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…