Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wew ni pimbi🤣🤣🤣..maelezo yako ni ya kipimbiKulikuwa na sababu ya kuniita pimbi, mshamba, nk! Kwani ukimjibu mtu kwa kujenga hoja unapungukiwa nini?
Kwa hiyo mnanichukulia kama Haji Manara au Maulidi Kitenge vile! Hamjawahi kuwapenda hawa watu. Kisa tu wana wakera!Ni kweli wew ni pimbi🤣🤣🤣..maelezo yako ni ya kipimbi
Huyu dogo na mwenzake Banda ni miongoni mwa wachezaji waliochelewa sana kuaminiwa na makocha, nakumbuka hadi mechi ya raundi karibu ya 10 walikuwa hawaanzishwi.anakumbuka blanketi wakati kumekucha, alikuwa wapi?
Kweli mkuu kwenye upinzani wa jadi hata kama najua mayele ni mchezaji mzuri lazima ntamponda na kumkashifu...huku moyoni nikiumia zaidi na goli lake zidi ya azam..maana tulijua inatoka draw...jamaa kwa sifa akafunga goli tena mbaya zaidi kwa bicycle kick😤😤😤Kwa hiyo mnanichukulia kama Haji Manara au Maulidi Kitenge vile! Hamjawahi kuwapenda hawa watu. Kisa tu wana wakera!
Sasa uzi mzima ukijaa sifa za Sakho, si hata yeye mwenyewe akipita humu si atavimba kichwa na kubweteka? Anatakiwa pia apaye mawazo mbadala ili aimarike zaidi. Ni mchezaji mzuri. Ila anatakiwa aongeze juhudi zaidi.
???????Shacho ynupo vizuri ndo n
B
Jikite ktk Government as well
Mgosi umetoa boko. Huyu mchezani bao lake kwenye mashindano ya CAF limekuwa moja ya ma mabao bora kabisa msimu.Amecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.
Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Eti kale kaandunje kafupi kama tairi ya bajaji nako kanavishwa kilemba cha ukokaKuna mabeki wakatili kama wa makundi CAF? 😂😂 😂
Wewe ndiye unaongoza kuwaita wanasimba mbumbumbu, kuwa mpole na wewe unawakera watu ujueKulikuwa na sababu ya kuniita pimbi, mshamba, nk! Kwani ukimjibu mtu kwa kujenga hoja unapungukiwa nini?
Ni tatizo hiloHuyu dogo na mwenzake Banda ni miongoni mwa wachezaji waliochelewa sana kuaminiwa na makocha, nakumbuka hadi mechi ya raundi karibu ya 10 walikuwa hawaanzishwi.
Hamna beki paleEti kale kaandunje kafupi kama tairi ya bajaji nako kanavishwa kilemba cha ukoka
Ndondo cup ipi??Mchezaji wakuwika ndondo cup
Naye ahimili pia kuitwa pimbi japo sio poa kutoana maana kwa mambo yasiyo na maanaAchana naye mkuu
Hawezi kuhimili utani wa mpira
Sasa ndugu zangu mbona mnanionea kiasi hiki! Kwani aliyewaita hili jina la "mbumbumbu" nyinyi mashabiki wa simba, ni mimi Tate Mkuu , au ni Mwenyekiti wenu wa zamani Mh. Ismail Aden Rage?Wewe ndiye unaongoza kuwaita wanasimba mbumbumbu, kuwa mpole na wewe unawakera watu ujue
Mimi mbona nimemuongelea kwenye mechi zaidi ya 3 walizocheza na Wananchi Yanga! Mimi sikumuongelea kwenye hayo mashindano yenu ya CAF!???????
Mgosi umetoa boko. Huyu mchezani bao lake kwenye mashindano ya CAF limekuwa moja ya ma mabao bora kabisa msimu.
Alikuwa vichakani ila ndo anaongoza kwa pasi za mwishoAnakumbuka blanketi wakati kumekucha, alikuwa wapi?
Tena mambwa mnabweka bweka hovyo 😂Sasa ndugu zangu mbona mnanionea kiasi hiki! Kwani aliyewaita hili jina la "mbumbumbu" nyinyi mashabiki wa simba, ni mimi Tate Mkuu , au ni Mwenyekiti wenu wa zamani Mh. Ismail Aden Rage?
Mimi si huwa nawakumbusha tu ili msisahau! Mbona na nyinyi huwa mnatukumbusha yale maneno ya kukera ya Luc ya kutufananisha sisi mashabiki wa Yanga na Manyani lakini hatulalamiki!
The man of assistAlikuwa vichakani ila ndo anaongoza kwa pasi za mwisho
Huo ni wivu tu mkuu.Mchezaji MACHACHARI sana sana, ila sio HATARI. Kama ningekuwa kocha ningemshauri aache kukaa na mpira bila sababu za msingi.
Anajipa kazi mno ambayo haiwezi, anapoteza mipira mno, tuseme ana harakati za pimbi, anafanikiwa mara chache mno.
Sakho ni mchezaji ambaye ameifanya Simba ipoteze point au magoli mengi mno msimu huu, hapigi pasi kwa wakati, hajui kuiposition nk.
Kwangu nampa 4/10 na kama Simba watampata Miqueson kwa mkopo kutoka Al ahly basi huyo Sakho aondolewe haraka sana.