Kwako wewe SAKHO anaweza kupata namba Kikosi cha YANGA?Huo ni wivu tu mkuu.
Sio tu kupata namba Bali pia anaweza kuwaoa wake zenuKwako wewe SAKHO anaweza kupata namba Kikosi cha YANGA?
Pole Tate nanee umeyataka mwenyweKulikuwa na sababu ya kuniita pimbi, mshamba, nk! Kwani ukimjibu mtu kwa kujenga hoja unapungukiwa nini?
Punguza chukiHana uhatari wowote, akipewa mipira 10 saba kati ya hiyo anapoteza
Yet ndio player anayeongoza kwa assist ligi hii....Mchezaji MACHACHARI sana sana, ila sio HATARI. Kama ningekuwa kocha ningemshauri aache kukaa na mpira bila sababu za msingi.
Anajipa kazi mno ambayo haiwezi, anapoteza mipira mno, tuseme ana harakati za pimbi, anafanikiwa mara chache mno.
Sakho ni mchezaji ambaye ameifanya Simba ipoteze point au magoli mengi mno msimu huu, hapigi pasi kwa wakati, hajui kuiposition nk.
Kwangu nampa 4/10 na kama Simba watampata Miqueson kwa mkopo kutoka Al ahly basi huyo Sakho aondolewe haraka sana.
Yule kocha alikuwa fal sana qmmkeTena mambwa mnabweka bweka hovyo
Wamemaliza msimu bila kufungwa.Yet ndio player anayeongoza kwa assist ligi hii....
Asa hao wasio na mammbo membi wanafanya nini.
Makolo bwana hakika kazi mnayo mnatafuta kila namna ya kufarijiana baada ya kuporwa vikombe vyote.Wanamwita Mzee wa kunyunyiza a.k.a Sadio Mane wa east Africa.
Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo.
Kiukweli huyu jamaa anajua ni msaada mkubwa kwa Simba SC kama watampata kocha mzuri anaejua kuwatumia wachezaji
Kushindwa kwa Pablo kuwatumia vyema wachezaji ndio kumeifanya Simba SC ishindwe kutamba msimu huu, Ila kama ni wachezaji wapo wakutosha na timu isiingie kwenye mkenge wa kuacha wachezaji wengi kwani kina SAKHO wapo wengi klabuni.
Acha SAKHO aendelee kutoa burudani kipindi hiki MBAPPE na NEYMAR wakiwa likizo.
Unatumia nini kufikiria?Amecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.
Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Ingawa hujachangia kishabiki ngoja nikukosoe kidogoMimi ni Mshabiki wa Yanga ila ni moja ya kijana ninae mkubali ana kipaji ( Skills) anahitaji kocha wa kumsaidia ili awe bora zaidi kama Nabi,
Akifanya maboresho kadhaa atakuwa sawa sana, aache kucheza na jukwaa, pili asipende kukaa sana na mpira (Kulamba sana chenga huu ni mpira wa kizamanj) hii ni hatari kwa afya yake, punguza mmoja au wawili kutafuta space toa pasi, hii unapenya msitu itakuja kumcost sana.
Mesi tena ndugu, huwezi fananisha na ulaya, hali ni tofauti sana, kimiundo mbinu, waamizi, nk huyo mesi ukimleta hapo Manungu hawezi kuparformIngawa hujachangia kishabiki ngoja nikukosoe kidogo
Hakuna tatizo kwa mchezaji kutembea na mpira, Labda kama uwezo ni mdogo
Refer to Lionel Messi wa PSG ya ufaransa
Aliwapatia sanaYule kocha alikuwa fal sana qmmke