Pape Osman Sakho

Pape Osman Sakho

Overrated player,siku zote anafunga magoli ambayo hayana faida kwa timu yake

Mechi hizi alizofunga ni kama friendly match kwenu

Yaani muda ambao timu inakutegemea uisaidie kufunga magoli ili ipate faida,muda huo anakuwa busy kufanya rubbish things
 
Mchezaji MACHACHARI sana sana, ila sio HATARI. Kama ningekuwa kocha ningemshauri aache kukaa na mpira bila sababu za msingi.

Anajipa kazi mno ambayo haiwezi, anapoteza mipira mno, tuseme ana harakati za pimbi, anafanikiwa mara chache mno.

Sakho ni mchezaji ambaye ameifanya Simba ipoteze point au magoli mengi mno msimu huu, hapigi pasi kwa wakati, hajui kuiposition nk.

Kwangu nampa 4/10 na kama Simba watampata Miqueson kwa mkopo kutoka Al ahly basi huyo Sakho aondolewe haraka sana.
Yet ndio player anayeongoza kwa assist ligi hii....
Asa hao wasio na mammbo membi wanafanya nini.
 
Wanamwita Mzee wa kunyunyiza a.k.a Sadio Mane wa east Africa.

Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo.

Kiukweli huyu jamaa anajua ni msaada mkubwa kwa Simba SC kama watampata kocha mzuri anaejua kuwatumia wachezaji

Kushindwa kwa Pablo kuwatumia vyema wachezaji ndio kumeifanya Simba SC ishindwe kutamba msimu huu, Ila kama ni wachezaji wapo wakutosha na timu isiingie kwenye mkenge wa kuacha wachezaji wengi kwani kina SAKHO wapo wengi klabuni.

Acha SAKHO aendelee kutoa burudani kipindi hiki MBAPPE na NEYMAR wakiwa likizo.
Makolo bwana hakika kazi mnayo mnatafuta kila namna ya kufarijiana baada ya kuporwa vikombe vyote.
 
Amecheza dhidi ya Yanga zaidi ya mechi 3! Zote hakuwahi kufurukuta mbele ya mabeki wakatili kama Kibwana Shomari, Juma Shaban, Yannick Bangala, na wengineo wengi.

Hivyo kwangu mimi namchukulia tu kama mchezaji anayecheza na jukwaa.
Unatumia nini kufikiria?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Mshabiki wa Yanga ila ni moja ya kijana ninae mkubali ana kipaji ( Skills) anahitaji kocha wa kumsaidia ili awe bora zaidi kama Nabi,

Akifanya maboresho kadhaa atakuwa sawa sana, aache kucheza na jukwaa, pili asipende kukaa sana na mpira (Kulamba sana chenga huu ni mpira wa kizamanj) hii ni hatari kwa afya yake, punguza mmoja au wawili kutafuta space toa pasi, hii unapenya msitu itakuja kumcost sana.
 
Ingawa hujachangia kishabiki ngoja nikukosoe kidogo

Hakuna tatizo kwa mchezaji kutembea na mpira, Labda kama uwezo ni mdogo
Refer to Lionel Messi wa PSG ya ufaransa
 
Mesi tena ndugu, huwezi fananisha na ulaya, hali ni tofauti sana, kimiundo mbinu, waamizi, nk huyo mesi ukimleta hapo Manungu hawezi kuparform
 
Sakho anastahili kupewa hisa klabuni na ajengewe sanamu nyuma ya goli katika uwanja wa bunju arena.
 
Back
Top Bottom