cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Soka la kwenye pitchSoka la wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soka la kwenye pitchSoka la wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angekua na sura kama yako hapo kwny Avatar angemchekesha
Siyo la kukata mauno kwa akina sadio maneSoka la kwenye pitch
Naumia kutoka msimbazi baada ya kupigwa goli na Prince Dube.Unaumia kutoka wapi ?toa mwiko kwanza
Mazoezini atacheza.Siku akicheza timu ya taifa kuna watu watakosa pa kuangalia
Kweli kabisa akina sadio mane wanataka furaha kuona bwana mdogo akidence changing room na kuwafurahisha.Kuitwa Senegal national team siyo kitoto.
Kwani kipindi kile anakata mauno Kama yondo sister mbona sadio mane alifurahi sana na kuwatag Simba kuwa wamuone mchezaji wao anavyojua kudencAngekua na sura kama yako hapo kwny Avatar angemchekesha
Na leo Mwarabu anakwenda kuuzamisha kabisa huo mwikoNaona mwiko huko nyuma unakuwasha sana hapo avic town
Kataa uafande
Na wewe uko vizuri kwa kupost ujinga ujinga humuYupo vizuri sana katika kazi ya kutumbuiza
Wee mbna hujaitwa kukatia mauno kwa kina samatta??Siyo la kukata mauno kwa akina sadio mane
Mimi mchezaji? [emoji8]Wee mbna hujaitwa kukatia mauno kwa kina samatta??
Angemtisha mazeeAngekua na sura kama yako hapo kwny Avatar angemchekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unamchekaje sakho na wee co mchezaji??Mimi mchezaji? [emoji8]