Pape Sakho abadilike, vinginevyo mashabiki tutamsusa

Pape Sakho abadilike, vinginevyo mashabiki tutamsusa

Pape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio mchezaji ambaye unaweza kumtegemea kubadilisha mchezo au kufanya maajabu sana, Simba inaweza kumuuza na kumrudisha Micquisone kama biashara itakuwepo.

Ni kweli Pape kwenye mechi ngumu hawezi kubadilisha mchezo. Nadhani auzwe aletwe mchazaji making mwenye uwezo.
 
Back
Top Bottom