Hata makocha stars huita Wachezaji wa hovyo.Hongera sana Kijana Pape Ousmane Sakho, motivation kubwa sana kwake.
Haujalazimishwa kujadili. Mada ukiona haina uzito kwako unaipotezea tu.Kwahio hii nayo ni habari ya kujadili?
Utaumiza kichwa mkuu. Hao Ni Kama kuku wa mdondo, hawachelwi kusahau.Pamoja na kutofautiana na wewe mara nyingi humu ndani kutokana na tofauti zetu za kishabiki, huwa nakuchukulia mtu fulani mwenye heshima zake. Kuna vitu sitegemei kusikia kutoka kwako.
Ni wiki hii hii tumekuwa na mijadala ya kuhusu uchaguzi wa wachezaji wa Taifa Stars, sikuona ukihoji hilo. Leo Sakho anaenda kuwa katika kikosi cha timu bora Africa, akicheza pamoja na mmoja wa wachezaji bora duniani, akicheza na kikosi kizima cha wachezaji wanacheza Ulaya, halafu unajaribu kushusha umuhimu wa hilo jambo. Kama siyo wivu ni nini?
Hongra na kombe la makosa ya kiuchezaji fcMakombe matano hayo aisee mwaka wenu huu
Kuna kuitwa timu ya Taifa na kuitwa timu ya taifa ya Senegal, know the difference,, hicho kikundi chenu cha Taifa stars hata wewe mwenyewe ukipasha siku mbili unaweza ukachukua namba ya mtu.Sijui ni ushamba au ulimbukeni, ajabu ni ipi mchezaji kuitwa timu ya Taifa?
Simu unayotumia inatosha kukuelezea kiundani kabisaKongole kwake Sakho [emoji122]
But Please Simba msije mkaharibu kiwango Cha huyu dogo (maana sikuizii anapata game time ndogo mno, sub kwa sana).
Msije mkaharibu kipaji chake kama mlivyofanya kwa
Ibrahim Ajib
Kibu D
Gadiel Michael
Na awa ambao hawapati nafasi now, (maana nyinyi kila mashindano wachezaji ni walewale)
Kyombo
Kapama
Ramadhani Mussa
[emoji116]Ongezeeni
NB: Maana nyinyi kila mashindano, kila mechi wachezaji ni walewale
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Punguza jazba mkuu [emoji1787][emoji1787]Hata makocha stars huita Wachezaji wa hovyo.
Where is the lie?Simu unayotumia inatosha kukuelezea kiundani kabisa
Mchezaji akiwa hajitumi wala haonyeshi jitihada zozote bado aendelee kupangwa kwa nadai ya kulinda kipaji chake ?
In fixSimu unayotumia inatosha kukuelezea kiundani kabisa
Kwahiyo hawajitumi kwenu tuh?Mchezaji akiwa hajitumi wala haonyeshi jitihada zozote bado aendelee kupangwa kwa nadai ya kulinda kipaji chake ?
SimbaaaaNyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Mozambique.
Sakho ni mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
View attachment 2555206
Ni connection ya jamaa yake ana ukaribu na kocha huyo kaenda kukaa benchi tu hana maajabu yoyote na hatacheza.zuwena fcNyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Mozambique.
Sakho ni mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
View attachment 2555206
Nchi ina wajinga wengi sana CCM itatutawala miaka 800Kuna kuitwa timu ya Taifa na kuitwa timu ya taifa ya Senegal, know the difference,, hicho kikundi chenu cha Taifa stars hata wewe mwenyewe ukipasha siku mbili unaweza ukachukua namba ya mtu.
Ukiwa huonyeshi kitu cha ziada mwalimu hawezi kukupa game time, timu inahitaji resultsKwahiyo hawajitumi kwenu tuh?
Rejea comment niliyotuma juu nimelist msururu wa wachezaji ambao kwa kukosa game time kwenu imepelekea viwango vyao kushuka na vipaji vyao kuwa rehani.
Ushauri:
Fanyeni ku-rotate Kikosi na wengine wapate kucheza, haiwezekani kila mashindano/kila mechi wachezaji ni walewale!
Fake news.Nyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Mozambique.
Sakho ni mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
View attachment 2555206
Itakutawala wewe na wajinga wenzio, sisi wengine hatujui hata hiyo ccm ina fananaje ..Nchi ina wajinga wengi sana CCM itatutawala miaka 800
Taja na wachezaji walioitwa kikosi cha Mali, wanaocheza africa ni wangapi wameitwa? Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida nyie mnaweka na sherehe kabisa? Acheni ajenda nyepesi kama izo zisizokuwa na maana yoyotePamoja na kutofautiana na wewe mara nyingi humu ndani kutokana na tofauti zetu za kishabiki, huwa nakuchukulia mtu fulani mwenye heshima zake. Kuna vitu sitegemei kusikia kutoka kwako.
Ni wiki hii hii tumekuwa na mijadala ya kuhusu uchaguzi wa wachezaji wa Taifa Stars, sikuona ukihoji hilo. Leo Sakho anaenda kuwa katika kikosi cha timu bora Africa, akicheza pamoja na mmoja wa wachezaji bora duniani, akicheza na kikosi kizima cha wachezaji wanacheza Ulaya, halafu unajaribu kushusha umuhimu wa hilo jambo. Kama siyo wivu ni nini?