Pape Sakho aitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal

Pamoja na kutofautiana na wewe mara nyingi humu ndani kutokana na tofauti zetu za kishabiki, huwa nakuchukulia mtu fulani mwenye heshima zake. Kuna vitu sitegemei kusikia kutoka kwako.

Ni wiki hii hii tumekuwa na mijadala ya kuhusu uchaguzi wa wachezaji wa Taifa Stars, sikuona ukihoji hilo. Leo Sakho anaenda kuwa katika kikosi cha timu bora Africa, akicheza pamoja na mmoja wa wachezaji bora duniani, akicheza na kikosi kizima cha wachezaji wanacheza Ulaya, halafu unajaribu kushusha umuhimu wa hilo jambo. Kama siyo wivu ni nini?
Utaumiza kichwa mkuu. Hao Ni Kama kuku wa mdondo, hawachelwi kusahau.
Watu wenyewe wenye akili wapo wawili tu. Usishangae.
 
Kongole kwake Sakho [emoji122]

But Please Simba msije mkaharibu kiwango Cha huyu dogo (maana sikuizii anapata game time ndogo mno, sub kwa sana).

Msije mkaharibu kipaji chake kama mlivyofanya kwa
Ibrahim Ajib
Kibu D
Gadiel Michael

Na awa ambao hawapati nafasi now, (maana nyinyi kila mashindano wachezaji ni walewale)
Kyombo
Kapama
Ramadhani Mussa
[emoji116]Ongezeeni

NB: Maana nyinyi kila mashindano, kila mechi wachezaji ni walewale

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Simu unayotumia inatosha kukuelezea kiundani kabisa
 
Mchezaji akiwa hajitumi wala haonyeshi jitihada zozote bado aendelee kupangwa kwa nadai ya kulinda kipaji chake ?
Kwahiyo hawajitumi kwenu tuh?

Rejea comment niliyotuma juu nimelist msururu wa wachezaji ambao kwa kukosa game time kwenu imepelekea viwango vyao kushuka na vipaji vyao kuwa rehani.

Ushauri:
Fanyeni ku-rotate Kikosi na wengine wapate kucheza, haiwezekani kila mashindano/kila mechi wachezaji ni walewale!
 
Nyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Mozambique.

Sakho ni mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
View attachment 2555206
Simbaaaa

Nguvu moja
 
Ni connection ya jamaa yake ana ukaribu na kocha huyo kaenda kukaa benchi tu hana maajabu yoyote na hatacheza.zuwena fc
 
pigeni story tu, horoya amesha fika,kuweni makini msije PASUKIA Kwa mkapa Tena.kuweni makini sana.
 
Kuna kuitwa timu ya Taifa na kuitwa timu ya taifa ya Senegal, know the difference,, hicho kikundi chenu cha Taifa stars hata wewe mwenyewe ukipasha siku mbili unaweza ukachukua namba ya mtu.
Nchi ina wajinga wengi sana CCM itatutawala miaka 800
 
Kwahiyo hawajitumi kwenu tuh?

Rejea comment niliyotuma juu nimelist msururu wa wachezaji ambao kwa kukosa game time kwenu imepelekea viwango vyao kushuka na vipaji vyao kuwa rehani.

Ushauri:
Fanyeni ku-rotate Kikosi na wengine wapate kucheza, haiwezekani kila mashindano/kila mechi wachezaji ni walewale!
Ukiwa huonyeshi kitu cha ziada mwalimu hawezi kukupa game time, timu inahitaji results
 
Nyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Mozambique.

Sakho ni mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal.
View attachment 2555206
Fake news.
 
Pamoja na kutofautiana na wewe mara nyingi humu ndani kutokana na tofauti zetu za kishabiki, huwa nakuchukulia mtu fulani mwenye heshima zake. Kuna vitu sitegemei kusikia kutoka kwako.

Ni wiki hii hii tumekuwa na mijadala ya kuhusu uchaguzi wa wachezaji wa Taifa Stars, sikuona ukihoji hilo. Leo Sakho anaenda kuwa katika kikosi cha timu bora Africa, akicheza pamoja na mmoja wa wachezaji bora duniani, akicheza na kikosi kizima cha wachezaji wanacheza Ulaya, halafu unajaribu kushusha umuhimu wa hilo jambo. Kama siyo wivu ni nini?
Taja na wachezaji walioitwa kikosi cha Mali, wanaocheza africa ni wangapi wameitwa? Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida nyie mnaweka na sherehe kabisa? Acheni ajenda nyepesi kama izo zisizokuwa na maana yoyote
 
Back
Top Bottom