[emoji38][emoji38] watu kweli wameshiba ugali maharageKama imekuuma ichomoe tu maana hamna namna!
Mkuu kwani usajiri wa Simba umeshakamilika tayari?Sackho si MCHEZAJI mzuri hivyo Wala USIUMIZE sana mkuu.
Mi nimeshangazwa mno na usajili unaendeleaje KLABUNI.
TATIZO KUBWA LA SIMBA LILIKUWA NI IDARA YA VIUNGO WA KATI 6,8.
nikajua watakimbilia KUSAJILI hili eneo na Beki mmoja then wahangaike na Winga mmoja, na mshambuliaji.
NAONA wanazidi kujaza mawinga tuuuu.
KAGOMA KUSAINI ONGEA UKWELISIMBA imedaiwa kumpiga bei ndefu kiungo mshambuliaji Pape Sakho, kiukweli it has pained me a lot
Ulichangia shilingi ngapi wakati wa kumnunua hadi uumieSIMBA imedaiwa kumpiga bei ndefu kiungo mshambuliaji Pape Sakho, kiukweli it has pained me a lot
Na kule kambini Uturuki anafanya niniSIMBA imedaiwa kumpiga bei ndefu kiungo mshambuliaji Pape Sakho, kiukweli it has pained me a lot