Pape Sakho ameuzwa Ubelgiji, imeniuma sana

Pape Sakho ameuzwa Ubelgiji, imeniuma sana

Sackho si MCHEZAJI mzuri hivyo Wala USIUMIZE sana mkuu.

Mi nimeshangazwa mno na usajili unaendeleaje KLABUNI.

TATIZO KUBWA LA SIMBA LILIKUWA NI IDARA YA VIUNGO WA KATI 6,8.
nikajua watakimbilia KUSAJILI hili eneo na Beki mmoja then wahangaike na Winga mmoja, na mshambuliaji.

NAONA wanazidi kujaza mawinga tuuuu.
Mkuu kwani usajiri wa Simba umeshakamilika tayari?
 
SIKILIZEN NA REDIO KOCHA ALIANZA KUMKATAA ALISEMAAYUKO KWENYEHESABU ZAKEMASHALLAHKIJANA KAJIONGEXA...
 
Back
Top Bottom