Pape Sakho ameuzwa Ubelgiji, imeniuma sana

Pape Sakho ameuzwa Ubelgiji, imeniuma sana

Acheni kutafuta ujiko , auzwe ubelgiji kwa kiwango kipi alicho nacho.
 
Sackho si MCHEZAJI mzuri hivyo Wala USIUMIZE sana mkuu.

Mi nimeshangazwa mno na usajili unaendeleaje KLABUNI.

TATIZO KUBWA LA SIMBA LILIKUWA NI IDARA YA VIUNGO WA KATI 6,8.
nikajua watakimbilia KUSAJILI hili eneo na Beki mmoja then wahangaike na Winga mmoja, na mshambuliaji.

NAONA wanazidi kujaza mawinga tuuuu.
 
Aende tu,muda wake ulifika tunamkubali ila soka ni biashara.
 
Back
Top Bottom