Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Huko ni 'kui-feitoto' timu....Kwa nini asiweke tu mzigo kwenye akaunti ya klabu, halafu tuone reaction kutoka kwa mashabiki?
Inategemea na mkataba ulivyoandikwa. Kama mkataba ulikuwa wa kijinga jinga, wachezaji watakuchezea sana, na wataweka sana mzigo kwenye akaunti! πππKwa nini asiweke tu mzigo kwenye akaunti ya klabu, halafu tuone reaction kutoka kwa mashabiki?