Paper ya form six nayo imevuja - nchi imekwisha tunazalisha wababaishaji

Paper ya form six nayo imevuja - nchi imekwisha tunazalisha wababaishaji

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
957
Hallow the greet thinker

Baada ya wizara kuamua kutumia gharama kubwa kwenda kuchapishia mitihani ya kidato cha sita nchini Uholanzi.

Nimefanikiwa kuhojiana na wanafunzi waliomaliza form six kuhusu mitihani yao (kwa baadhi yao walio maliza na wengine bado wanaendelea) kuwa mitihani imevuja wameifanya kabla hawajaingia katika vyumba vyao vya mitihani simu imekuwa kiungo kikubwa cha usambazaji wa maswali na majibu kwa mfano nimetajiwa mitihani ya Kiswahili, Language na History sababu ndio aliyokuwa anaifanya (resit)

HOJA ZANGU

1. Ni nani anaye toa mitihani hiyo wizarani?
2. Tatizo ni tamaa ya kifedha kwa wanaonunua au wamiliki wa shule kusifiwa kwa kufaulisha?
3. Ni taifa gani tunatengeneza?

Kusema ukweli tunajiua mwisho wa siku Majirani km Kenya ndio watakao kuja kuajiriwa ndani ya nchi yetu wenyewe ngojea umoja wa Afrika mashariki utimie wote tutakuwa mashahidi
 
Hii ndo Tanzania zaidi ya Uijuavyo, Halafu eti Usalama wa taifa wapo, sijui intelijensia...all systems are corrupted, halafu baadae kulalama ati wakenya waja Tz kuchukua ajira zetu, Vihiyo Wakubwa
 
Biashara inaendelea??? Pole mama Tanganyika!
 
hacha ukilaza we jamaa!! Tuwekee pepa la keshokutwa hapa! Majungu hayasaidii! Hovyoo!
 
hacha ukilaza we jamaa!! Tuwekee pepa la keshokutwa hapa! Majungu hayasaidii! Hovyoo!

Bila shaka nawe ni wale wale hata hujui kuwa kesho kutwa ni Jumapili au utaenda hivi unaenda kufanya mtihai gani vile
 
Hii ndo Tanzania zaidi ya Uijuavyo, Halafu eti Usalama wa taifa wapo, sijui intelijensia...all systems are corrupted, halafu baadae kulalama ati wakenya waja Tz kuchukua ajira zetu, Vihiyo Wakubwa

Usalama wa taifa wako bize na kutafuta nani wanapost mambo ya "hatari kwa taifa" na kujibu hoja zinazohatarisha amani" ndani ya Jamiiforums!!
Hao jamaa wote ni wa Lowassa kupitia kwa bosi wao wa zamani Mwang'onda(Fisadi mkuu)
 
Mitihani hii kumbuka wanafanya wote PC & SC So kuna wakubwa humo angalia kwa jicho la 3 ndg yng.
 
Ikija kutokea mwaka pepa haijavuja..then Tz will be the smartest country in the World.. Leakage ni kawaida dunia nzima...
 
Matatizo ni yao afu waje kuwafungia wanafunzi nyamba***************
 
Kwa ufupi inakela. Hivi TISS kama wanauwezo wa kujua kuwa Alshabab watashambulia waandamaji wa kupinga malipo ya dowansi wanashindwaje kugundua wanaovujisha pepa?
 
matokeo ya necta 2012v ofrm six huenda yakafanana na yale ya form six 2007 kama mtihani umevuja nakumbuka enzi zile div 01 zilikuwA CHACHE HALAFU 4 NA 0 ZILIKUWA NYINGI......KITU KILIVUJAAA
 
***** mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weka kithibitisho
 
Maneno hayo yanathibitisha kwamba wewe pia ni kihiyo.Nani asiyejua hii ni kweli?Nchi ipo hapa ilipo kwa ajili ya vihiyo kama ninyi.Shame on you.
***** mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weka kithibitisho
 
Back
Top Bottom