Paper ya Tax management officer ii utumishi

Paper ya Tax management officer ii utumishi

Poleni mkuu,Mungu ataweka mkono wake,maswali ya darasani au general questions?
 
Ni kipigo tu!😅...

Jiandae kurudi mjini
 
.Mimi kibori Nangai

Miachane na hizo Biashara

Nawasihi tena
Vijana wenzangu Kazi ni connections

Bila hivyo sahau sijui kazi za Serikalii

Walionielewaa tumieni ushauri wangu👏💪
Nafasi 40 wanaitwa watu 5900
Embu kalkulate hiyo ratio
Wakuuu
 
Unaishi kwa kutegemea maneno ya mtaani.Nani amekuambia walikuwa 5900?
Usikatishe tamaa vijana watanzania.Sekretarieti ni ya watanzania wote,kila mtu aje apambane na wenzake wa level yake.Atakayefanya vizuri atapita
Kama hujiamini usiambukize wenzako.
Ndio,nafasi chache watu wengi.Lakini wanaofaulu wanakaa kwenye kanzidata na wengi tu wanaitwa kazini.Kalagabaho!
 
Mkuu mbona povu linakutokaa

Mimi ndio sitaki

Ya mtaani tumetoka wapi tena

Nasema hivi.

Kwa akili ya kawaida

Kama kweli hii nchi kuna mzalendo kuna haja gani ya kuwapeleka watu dodoma

Kwanini na mkoani kuna vyuo vya kutosha

Kwanini wasifanye distributions kwenye mikoa
Wanafanya usaili.

Watu hawana ajira atawapeleka dodoma

Mimi narudia tena na hata wewe mwenye Mapovu

Na vijana wasaka ajira

Kazi ni connections za kushindana hapa bongo bado sanaaa.

Kwa hiyo usitume rasilimali zako kufuata Akira ddm.
Achana na huyu wa mipovuu
 
.Mimi kibori Nangai

Miachane na hizo Biashara

Nawasihi tena
Vijana wenzangu Kazi ni connections

Bila hivyo sahau sijui kazi za Serikalii

Walionielewaa tumieni ushauri wangu[emoji122][emoji123]
Nafasi 40 wanaitwa watu 5900
Embu kalkulate hiyo ratio
Wakuuu

Waambie warudie kusoma topics za Probability na Permutation
 
Back
Top Bottom