Paper ya Tax management officer ii utumishi

Paper ya Tax management officer ii utumishi

Inaonekana hii imewaumiza wengi, kuna rafiki yangu leo kanipigia simu analia amezuiwa kufanya mtihani kwakua hakubeba original certificates.
Kama alisahau sawa maana kusahau ni kama ugonjwa au ajali Ila kama alipuuza tu ety kwa kuwa nimeitwa na taarifa zangu wanazo hapo kazingua huyo chalii
 
.Mimi kibori Nangai

Miachane na hizo Biashara

Nawasihi tena
Vijana wenzangu Kazi ni connections

Bila hivyo sahau sijui kazi za Serikalii

Walionielewaa tumieni ushauri wangu👏💪
Nafasi 40 wanaitwa watu 5900
Embu kalkulate hiyo ratio
Wakuuu
watu tunapata ajira na hatuna connection.
 
 
Back
Top Bottom