Paper

Paper

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Wakuu habari zenu

Hii kitu uwa inasababishwa na kitu gani Kuna jamaa mmoja kipindi tupo advance Kuna paper moja ya chemistry ilikua ngumu kinoma. 😀😀😀😀

Kwa walewaliopita level hiyo watanielewa ,jamaa uyo alipiga bao:,je shida ilikuwa Nini kwa uyo jamaa mpaka akapiga bao.samani kwa uandishi mbovu

#Digging deeper
 
Nimesoma na jamaa wa namna hiyo pia, akipanic tu lazima apige mshindo....




Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Daah, huu mwili we acha tu.. Yaan inashangaza kukuta unajikojolea baoza kutosha tena mzito..
Kuna mshikaji wangu kasema ye aliwahi kupiga 3
 
Back
Top Bottom