Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Wakuu habari zenu
Hii kitu uwa inasababishwa na kitu gani Kuna jamaa mmoja kipindi tupo advance Kuna paper moja ya chemistry ilikua ngumu kinoma. 😀😀😀😀
Kwa walewaliopita level hiyo watanielewa ,jamaa uyo alipiga bao:,je shida ilikuwa Nini kwa uyo jamaa mpaka akapiga bao.samani kwa uandishi mbovu
#Digging deeper