Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
... alitoka mwezi wa 12 mwaka gani? fanya hesabu halafu kumbuka huu ni mwezi wa kumi na kiumbe hukaa kwenye mji wa mimba miezi tisaHuyu si alitolewa mwezi wa 12 au? Inamaana alivyotoka tu hapo hapo akapachika mtu mimba,hakuwa na uoga tena wa kufanya fasta fasta maana si alishang'atwa na nyoka?